Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Yaliyojiri kwenye Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo

$
0
0

PG4A3931

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge  la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa mjumbe wa Bunge hilo, Bungeni Mjini Dodoma Machi 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A3943

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Spika wa Bunge  la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda   baada ya kumwapisha kuwa mjumbe wa Bunge hilo, Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A3974

Wajumbe  wa Bunge Maalum la Katiba, January Makamba (kushoto) na Ismail Jusa Ladhu wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 24, 2014 baada ya Bunge kuahirishwa.

PG4A4002

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanachuo wa Chuo cha Nyuki cha Tabora waliotembelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma Machi 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles