Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THBUB yalaani mauaji ya Askari Polisi na kujeruhiwa kwa wanachama wa CUF

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora(THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga. Tamko la Tume kulaani mauaji ya Polisi.pdf by moblog

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

King Majuto ‘kuvunja mbavu’ Zanzibar siku ya KARUME DAY, Aprili 7

Na Andrew Chale wa Modewji blog Msanii mkali wa maigizo na vichekesho, Nchini, Amri Athuman a.k.a King Majuto anatarajiwa kufanya shoo maalum ya vichekesho katika viwanja vya kufurahia watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Orange launches the 4th edition of the music contest in Africa, on...

StarAfrica Sounds 2015: what if you were the new Star? StarAfrica supports young talents: In order to promote new African music talents, StarAfrica.com – Orange’s entertainment portal in Africa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Takwimu wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wafanyika...

Mkurugenzi  Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), kutoka Tanzania  Dkt. Albina Chuwa akifungua mkutano wa Wakurugenzi na Watalaam wa Takwimu kutoka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgawahawa wa kwanza mkubwa wa kiafrika wafunguliwa Ulaya

Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakilishi Jimbo la Bububu Mhe BHAA akanusha tuhuma ya gari lake kuhusika...

Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Zanzibar Mhe Hussein Ibrahim Makungu akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tuhuma zanazoenezwa kwamba gari lake aina ya fuso kuhusika na kuwashambulia Wanachama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Fedha afanya ziara ya kushtukiza Bandari Kavu

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiangalia kontena lenye shehena ya vitenge badala ya unga wa gypsum kama nyaraka zilivyoonyesha. Baadhi ya wafanyabiashara wabainika kukwepa kulipa kodi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ijue Ijumaa Kuu

Ijumaa Kuu ni siku ya mwaka ambayo wafuasi wengi wa Yesu Kristo wanaadhimisha kifo chake msalabani ambacho kilitokea nje ya kuta za mji wa Yerusalemu siku ya Ijumaa. Kadiri ya Mtume Yohane kesho yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamko la TBN kumuomba Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete asipitishe Muswada wa...

Tamko la Bloggers Tanzania.pdf by moblog

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Modewji blog inakutakia furaha njema ya siku ya Ijumaa kuu leo na Pasaka njema

Zainul A. Mzige, Operation Manager, MODEWJI BLOG, www.modewjiblog.com +255714940992. Andrew Chale, Online Editor, Chief Reporter, MO BLOG, www.modewjiblog.com +255719076376 Msomaji wa Modewji blog leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali ya Mapinduzi ZNZ yakanusha wawakilishi kuihusisha serikali ya oman...

  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed. Na MAELEZO ZANZIBAR  SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMEKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Asilimia 100 ya Tanzania sasa imekuwa ni dijitali

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu uhamaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadau wapongeza kituo cha Redio 5 kwa kuanzisha kampeni ya ‘Kapu la Pasaka’

Wafanyakazi wa kituo cha Redio 5 cha jijini  Arusha wakikatishaa mitaa kumsakata mshindi wa kapu la Pasaka ,eneo hili linafahamika kwa jina la kwa Morombo na ni maarufu kwa uchomaji wa nyama ya mbuzi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL yatoa msaada wa vifaa vya usafi Ilala

Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano mkuu wa 31, tuzo za viongozi wa serikali za mitaa (Mayors Award) na...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini jana kuhusu Mkutano Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu CCM Ikungi awajia juu viongozi wa Upinzani, awataka kuzingatia misingi...

.Katibu CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Aluu Segamba, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya tuhuma mbalimbali wanazowatuhumu wabunge wa wawili wa CHADEMA mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gwiji la soka la timu ya taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona...

  Mratibu wa ziara ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona nchini ,Royco Garcia ,(kulia) akiwa na mdau wa soka wa mkoa wa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa chama cha soka wilaya ya Hai,Harold Kifunda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Padri Audax Kaasa aongoza ibada katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar Es Salaam

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali  Pengo, akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika   Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam,  Katikati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikika yakanusha taarifa ya upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya...

Naomba nifafanue kuhusu propaganda inayoenezwa na maafisa wa TCRA kupitia CloundsFM kuhusu Sikika na Mswada wa ‪#‎CyberCrimeBill. Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mo blog inamtakia pole ya uzima Blogger na Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu...

Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu, blogger  Joseph Mwaisango akiwa yupo kitandani Hospitali ya Rufaa Mbeya ambaapo amelazwa tokea jana akisumbuliwa na tatizo la tumbo. Na Andrew Chale wa Modewji blog...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live