Andrew Chale, Online Editor, Chief Reporter, MO BLOG, www.modewjiblog.com +255719076376
Msomaji wa Modewji blog leo ni siku ya Ijumaa kuu mtandao huu unaungana na wakristo wote Duniani katika kuadhimisha siku hii pamoja na sikukuu ya Pasaka.
Mtandao huu unawatakia Sikukuu njema, sherehe njema na tuiadhimishe kwa amani.
Modewji blog pia inapenda kuwakumbusha wazazi kuwa waangalifu na watoto wadogo pamoja na hali yaa ulinzi majumbani. Ni wakati wa kuwachunga hasa maeneo ya fukwe, barabarani ilikuepuka ajali zisizo za lazima.
Pia kuakikisha kunawekwa ulinzi kwenye makazi ilikuepuka matukio ya kihalifu. Uongozi mzima Modewji upo pamoja nawe endelea kuperuzi kupata maatukio moto moto!.
Pia kama una habari na picha za matukio yoyote unaweza kututumia kupitia Whatsapp 0767076376 au email iliyopo hapo juu.