Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ali Kiba, Isha Mashauzi, Msaga Sumu na wengineo kupagawisha Pasaka Dar Live leo

Ile shoo kubwa  na ya kijanja iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa burudani imewadia ambapo leo Aprili, 5 (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bongo5.com watoa picha maalum za ndoa ya Dk.Reginald Mengi na Jacqueline...

Na Andrew Chale wa Modewji blog Ni kama ndoto lakini mwishowe inakuwa si ndoto bali ni tukio halisi baada ya awali kuzagaa kwa picha tofautio 9, za Harusi ya Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa Makampuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ali Kiba ‘habari nyingine’ afunika Shoo ya Mwana Dar Live

Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live. Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love. Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wa Benki ya CBA washerehekea Pasaka na watoto yatima

Msimamizi wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Centre kilichopo jijini Dar es Salaam, Sister Anna Marandu (Kulia) akipokea msaada wa chakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaolelewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hospitali ya Apollo kuendesha kambi ya uchunguzi kwa ajili ya wagonjwa wa...

Mwezi  Machi sekta ya afya nchini Tanzania imepokea wataalam kutoka nchi  mbalimbali duniani kwa ajili ya kutoa huduma za vipimo, ushauri na matibabu kwa watanzania. Ujio huu umeleta faida kubwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete atoa mhadhara katika kituo cha Kimataifa cha Woodrow Wilson

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mhadhara katika kituo cha Kimataifa cha Woodrow Wilson (Woodrow Wilson International Centre) tarehe 3 Aprili, 2015 jijini Washington DC nchini Marekani. (PICHA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashirika ya ndege ya Boeing 747-8 sasa yaja na ‘jumba la kifahari’ angani

  Sehemu ya ndani chumbani kama inavyoonekana. Na Andrew Chale wa Modewji blog, kwa msaada wa Mashirika ya Habari. Huenda bado ujasikia juu ya baadhi ya ndege ndogo, za kati na zile kubwa zimekuja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe na ACT Wazalendo kupeleka Uzalendo Songea Mjini Aprili 10

Na Andrew Chale wa Modewji  Blog Chama cha Wazalendo ACT-Tanzania kinatarajia kufanya  mkutano wake Mkoani Ruvuma, Ijumaa ya Aprili 10, katika eneo la Songea Mjini. Kwa mujibu wa taarifa kupitia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

7 Ways To Get Noticed At The Office

No matter what your role or where you are performing it, you can shine – anywhere. Regardless of where on the totem pole you start, true talent will rise to the top.  Here are 7 ways to emerge from the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAPDD yawapiga msasa wanahabari Zanzibar juu ya kuripoti habari za watu wenye...

  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ally Uki katikati akitoa mada katika Semina ya kuwajengea Uwezo Wanahabari. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watu wenye Ulemavu wa Akili Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hitma ya Marehemu Mzee Karume yasomwa mapema leo Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai maara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ney wa Mitego atoka na Dayna Nyange aamua ‘kujituliza’

Ney wa Mitego akiwa na msanii wa kike, Dayna Nyange katika mikao ya kimahaba. Na Andrew Chale wa Modewji blog Ni habari nyingi kwa sasa  kwa msanii nyota wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe Masauni akibidhiwa cheti cha mchangio wake kwa vijana dhidi ya amani...

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Mlezi wa Jumuiya ya Tanzania Yuoth Icon (TAYI) Mhe.Eng Hamadi Yussuf Masauni akikabidhiwa Cheti cha Mchango wake kwa Vijana kuhusiana na Amani kutoka kwa Mratibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania watakiwa kusaidia watu wasiojiweza kwenye jamii

  Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita.   Waziri Membe akizungumaza wakati wa ziara yake kituoni hapo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shamy Tours ya Zanzibar yapata leseni ya utalii Sweden

Meneja Mwendeshaji wa kampuni ya Shamy Tours and Travel Agent Zanzibar, Bw. Khamis Mwinjuma Simba akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo katika sekta ya utalii Zanzibar na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dayna Nyange aachia wimbo mpya leo wa ‘Nitulize’ aliomshirikisha Ney wa Mitego

Msanii wa kike anayetamba na vibao mbalimbali vya muziki hapa Bongo ‘East African Queen’, Dayna Nyange leo Aprili 8, anaachia wimbo mpya wa ‘Nitulize’ ambao ameimba na staa wa Hip Hop nchini, Ney wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive: Mastaa Bongo wanaojiamini hadi ‘kujiachia’ miili yao hawa hapa!

Wasanii Ney wa Mitego (kushoto) na Diamond Platinumz (kulia Na Andrew Chale wa Modewji Blog Kwa muda mrefu sasa huenda nawe  umepata kushuhudia baadhi ya mastaa wa Bongo pamoja na watu maalufu wakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOA yasheherekea Pasaka na watoto waliolazwa Hospitali ya CCBRT

Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Benki of Afrika, BOA, Wasia Mushi akikabidhi vifaa vya masomo kwa watoto waliolazwa kwenye hospitali ya CCBRT ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wengi wanufaika na semina ya kilimo na ufugaji wa kisasa iliyoendeshwa na...

 Mjasiriamali na Muandaaji wa wa Semina ya Kilimo na Ufugaji wa Kisasa Bi. Mary David Kinong’o akitoa Maelezo juu ya Kilimo na Ufugaji wa kisasa ambapo aliwasisitiza Vijana na watu wote kujiunga na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Kikwete meets UN Secretary General Ban Ki-Moon in New York

President Jakaya Kikwete is received by the UN Secretary General Mr Ban Ki-moon at the UN Headquarters in New York. President Jakaya Kikwete in talks with the UN Secretary General Mr Ban Ki-moon at...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live