Tigo yaadhimisha Karume Day mjini Zanzibar
Pichani juu na chini ni sehemu ya umati, uliokusanyika katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar katika kuadhimisha siku ya Karume, iliyoandaliwa na Tigo. Watoto wakishindana kudansi...
View ArticleShopping for Easter has never been easier
Mahatma Gandhi once said, “A man who was completely innocent, offered himself as a sacrifice for the good of others, including his enemies, and became the ransom of the world. It was a perfect act.”...
View ArticleWorld Bank President Jim Yong Kim Delivers Pre-Spring Meetings Speech “Ending...
Good morning. Thank you, John, for that kind introduction. Thank all of you for coming, or watching on the Webcast. And thank you to CSIS for hosting us at your beautiful building. Before I begin, I...
View ArticleMaadhimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji...
View ArticleRedio za jamii zashukuru kwa kupokea Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti
Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku...
View ArticleUp To 400 Decision-Makers Expected at the International “Engineering...
A concentration of influential African engineering players Jacobs Engineering SA (JESA) is organizing the first international symposium, “Engineering Symposium for Africa”...
View ArticleMfumuko wa bei wataifa waongezeka
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 ambao...
View ArticleDC wa Kakonko alivutia kasi Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara
Mkuu wa wilaya ya Kakonko, Peter Toima akizungumza na mwandishi wa habari hizi (hayupo pichani). Mahmoud Ahmad, Arusha Joto la ubunge katika jimbo la Simanjiro mkoani Manyara limezidi kushika kasi...
View ArticleMamia ya wakazi wa Dodoma wajitokeza kwa wingi katika semina ya ujasiriamali...
Mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa ya jirani juzi jumanne tarehe 7 /04/2015 karume DAY walijitokeza kwa wingi kwa semina kuhusu biashara ya mtandao ambayo ni biashara ambayo ya karne ya 21 na...
View ArticleTaasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) yashiriki mkutano...
Naibu waziri wa TAMISEMI,Khasim Majaliwa,akipata maelezo na kusaini kitabu cha wageni kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Tasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu chini ya Wizara ya Fedha, Bw,...
View ArticleWatatu wajishindia mamilioni kutoka Bayport
Meneja Utawala wa Bayport Financial Services aliyezibwa macho, Evalyine Hall, akichagua kuponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz ina taasisi hiyo ambapo...
View ArticleCBE yawakumbuka wamachinga, yaendesha utafiti kuwasaidia kutambuliwa rasmi
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kuhusu utafiti wa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) unaofanywa na chuo hicho kwa kushirikiana na...
View ArticleKevera ajitoa kwa vijana katika sekta ya michezo
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa Nahodha wa Timu ya Twiga, Abuu Nido baada timu hiyo...
View ArticleManispaa ya Kinondoni yaibuka mshindi wa jumla tuzo ya Meya 2015
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda. … zilzioandaliwa na ALAT Na Andrew Chale wa Modewji blog Manispaa ya Kinondoni ya Jijini Dar es salaam imeibuka mshindi wa wa Jumla ya kwenye tuzo...
View ArticleBreaking News!!! Mabasi Ubungo yagoma asubuhi
Na Andrew Chale wa Modewji blog Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa umati mkubwa wa abiria wameanza kupata taabu ya usafiri baada ya baadhi ya mabasi kuanza mgomo baridi. Mgomo huo umeanza muda...
View ArticleBreaking News!!! Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi...
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima …Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi Na...
View ArticleUteuzi kutoka Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Kissiok Ole Mbille Lukumay kuwa Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma. Aidha, Rais Kikwete...
View ArticleFilikunjombe akabidhi msaada wenye thamani ya zaidi ya tsh milioni 32...
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe kulia akikabidhi msaada wa mataulo na mito kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa Wiliam Waziri kwa ajili ya Hospitali ya wilaya...
View ArticleHappy Birthday Blogger Cathbert Angelo Kajuna
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunifikisha leo Aprili 10 siku yangu ya kuzaliwa… Hakika Mungu ni mwema kwa kila jambo. Pia napenda kuishukukuru familia yangu, ndugu jamaa na marafiki kwa kuwa pamoja...
View Article