EXCLUSIVE: “Serikali yafuta vikwazo vyote kwa Madereva Nchini..magari yaanza...
Waziri wa Kazi na Ajira nchini, Gaudensia Kabaka akiongea na madereva kwa kutumia kipaza sauti mapema mchana huu na kufuta baadhi ya vikwazo walivyokuwa wakivipinga madereva. ..Mgomo wadumu masaa...
View ArticleMatukio ya picha za mazishi ya Bernard Rwebangira Ishengoma
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe...
View ArticleTimu ya Barcelona ilipowasili Zanzibar
Rais wa Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. Kikosi...
View ArticleAfrican Internet Group Nominated for International Corporation of the Year
As an Africa Internet Group company, KAYMU Tanzania’s success contributed to the organization’s Nomination for International Corporation of the Year KAYMU is one of eight Africa Internet Group (AIG)...
View ArticleZitto na ACT Wazalendo ‘waanza harakati za ukombozi Songea wafungua matawi...
Wafuasi wa ACT wakiwa kwenye msafara wa kuwapokea viongozi wa chama hicho Mjini Songea Mkoani Ruvuma. NA MWANDISHI WETU MJI wa Songea jana ulizizima kwa mapokezi makubwa ya viongozi wa Chama cha...
View ArticleThe REAL Meanings Of Some Words
Every word has a definition, but they aren’t always what we mean when we say them. For example, I might have said “I’ll do that right away, honey,” but what I really meant was, “I will forget whatever...
View ArticleExclusive Gossip: Nuh Mziwanda wa Shilole, ‘achafua’ hali ya hewa kwenye...
Nuh Mziwanda akiwa na mchumba wake, Shilole. ..Maneno ya ‘Sadd na Sadness’, ‘Women na Woman’ yamtatiza Na Andrew Chale wa Modewji blog Huenda hii ikawa ni tabia endelevu kwa baadhi ya mastaa wa Bongo...
View ArticleTBL yatoa msaada wa sh. mil 69 za ujenzi wa visima vya maji Vituka,...
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya sh Milioni 69 kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vituka, Bi. Amina Rashid Simba kwa...
View ArticleIMETOSHA yaendeleza mkakati wake kimataifa kusafisha jina la nchi
Mkakati wa kutokomeza unyanyapaa na mauaji ya watu wenye ualbino nchini, uitwao IMETOSHA, jana ulianza rasmi kujitokeza kimataifa baada ya kushiriki katika pambano la kimataifa la kirafiki kati ya...
View ArticleAjali ya gari la Nganga na Fuso huko Ruaha Mbuyuni taarifa zaidi zitawajia...
Basi la abiria la Nganga likionekana kuteketea kwa moto baada ya kugongana na Fuso majira ya saa mbili asubuhi leo Aprili 12, huko eneo la Ruaha Mbuyuni (Picha kwa mujibu wa mitandao ya kijamii). Na...
View ArticleSpecial Message from ZIFF to Kenyan’s: In Your Hour Of Pain We Stand Together
Mahmoud Kombo (MP) Chair ZIFF. As Chair of the Zanzibar International Film Festival I would like to convey our heartfelt condolences and Pole to the people and relatives of those directly affected by...
View ArticleUmoja wa Mataifa ni taasisi imara katika utatuzi wa migogoro
Kutoka kushoto ni Reginald Munisi, Mwenyekiti, United Nations Association of Tazania, Mr. Alvaro Rodriguez, Mratibu Mkazi, Umoja wa Mataifa Tanzania, Balozi Dk. Augustine Mahiga, Balozi Mstaafu wa...
View ArticleACT Wazalendo wamtaka JK aitishe bunge maalum la marekebisho kunusuru...
Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya...
View ArticleMbowe akabidhi Ambulance mbili kwa hosptali ya wilaya ya Hai na hosptali ya...
Magari mawili ya kubebea wagonjwa(Ambulance) yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe yakiwasili katika viwanja vya soko la Kuni kwa ajili ya kukabidhiwa kwa viongozi wa hosptali ya wilaya...
View ArticleMtandao wa kutetea haki za binadamu wahamasisha amani kabla ya uchaguzi mkuu
Onesmo Ole Ngulumwa, Mratibu wa Mtandao wa Kutetea Haki za binadamu akizungumza katika mkutano huo wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu, ulioandaliwa na mtandao wa utetezi...
View ArticleMwendelezo wa habari ya ajali ya Ruaha Mbuyuni: 6 wadaiwa kupoteza maisha
basi hilo baada ya kupata ajali ya kuungua. Habari zilizotufikia muda huu wa saa nane mchana ni kuwa hadi sasa imeelezwa kuwa watu sita (6) wamepoteza maisha kufuatia ajali ya basi la abiria la Nganga...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria Sherehe za Uaskofu jimbo Katoliki Shinyanga
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye...
View ArticleAjali 3 zatokea leo Nchini: Ya Ruaha Mbuyuni 18 wadaiwa kupoteza maisha
Mabaki ya ajali iliyotokea maapema asubuhi ya leo inayoelezwa kuuwa watu 18 na kujeruhi 10 huko Ruaha Mbuyuni. Na Andrew Chale wa Modewji blog Hadi tunaendelea kuwapatia taarifa hizi usiku huu, tayari...
View ArticleMfuko wa GEPF wafanya mkutano na wadau Arusha wajadili maswala mbalimbali ya...
MKUU wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao...
View ArticleTRA kutoa mafunzo ya ukusanyaji kodi wa washiriki 150
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwakaribisha wageni katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya ukusanyaji kodi kwa waajiriwa wapya Leo...
View Article