Sehemu ya ndani chumbani kama inavyoonekana.
Na Andrew Chale wa Modewji blog, kwa msaada wa Mashirika ya Habari.
Huenda bado ujasikia juu ya baadhi ya ndege ndogo, za kati na zile kubwa zimekuja na mfumo mpya zaidi ndani ya ndege zao ikiwemo kutengeneza chumba cha kifahari ndani ya ndege kiasi cha kujiona kama upo nyumbani kwako kwenye jumba la kifahari.
Ndege ya Gulfstream G650, miongoni tu waliokuja na mfumo huo kwenye ndege yao hiyo ya usafiri wa anga kifahari, lakini kuna wachache ambao wanaweza kumudu zaidi ya hapo kwani kwa mteja atakayetaka kupata daraja la ndege hizo atahitaji tiketi za VIP, kwa bei kubwa zaidi.
Hata hivyo, mahitaji ya tiketi, Airbus na Boeing wameanza kuuza “VIP” matoleo ya ndege yao chini ya Airbus Corporate Jet na Boeing daraja la Biashara kwa ndege ndogo Airbus A320 na Boeing 737, ambazo zimekuja hivi karibuni na mfumo huo mpya.
Sifa ya chumba hicho ni nyingi ila kikubwa ni pamoja na kitanda cha kifahari, sehemu ya ofisi, chumba cha chakula, choo, sehemu ya kujipumzikia pekee, sehemu ya kuwasiliana, sehemu ya kujiliwaza na mambo mbalimbali kama inavyoonekana pichani.


For most people, private jets such as the $65 million Gulfstream G650 or the Bombardier Global Series are the epitome of luxury air travel, but there are a select few who can afford more than that. They’re converting airliners into private flying palaces. To meet this demand, Airbus and Boeing have begun selling “VIP” versions of their airliners under the Airbus Corporate Jet and Boeing Business Jet brands. While most of these planes are based on smaller Airbus A320 series or Boeing 737 models, one recent VIP conversion took luxury to a new level.
One very lucky, very wealthy, and very confidential client took delivery of a personalized Boeing 747-8, completed by Greenpoint Technologies of Kirkland, Washington. Its incredible 4,786 sq. ft. of space features a stateroom, lounges, an office, and a massive dining room.
Muonekano wa ndege hiyo kwa nje ikiwa angani..