Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA agungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF – Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF  baada   ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma  Februari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HELLOFOOD revolutionizes the food industry in Tanzania

Given the heavy traffic in Tanzania, and especially Dar es Salaam, the food delivery company Hellofood has become indispensable to many people in the country, all through the use of their mobile app...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda aanza ziara ya mkoa wa Iringa

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni muhimu kujua hasa watumiaji wa matairi vipara

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Iddi afungua rasmi mkutano wa kikanda juu ya ukuaji wa miji ya Afrika...

Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) Prof. Joseph Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh. Balozi Seif Ali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basi la Kidia Express laua wawili Dodoma leo

Na Mwandishi wetu wa modewjiblog, Dodoma Habari zilizotufikia kutoka Mkoani Dodoma: Basi la Kidia One  Express lagongana na lori na kudaiwa kusababisha vifo vya watu wawili huku likijeruhi abiria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yasisitiza matumizi ya takwimu sahihi

Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Ofisi Bw. Michael Madembwe akizungumza na wazalishaji na watumiaji wa takwimu leo jijini Dar es salaam. Warsha hiyo imewakutanisha wadau hao  kutoka maeneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uteuzi wa Makonda wawa gumzo kila kona mitandaoni, mitaani

Na Andrew Chale wa modewji blog Ikiwa ni siku moja tu tangu kutangazwa kwa wakuu wapya wa Wilaya mbalimbali za Tanzania Bara, Uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK amtumia salamu za rambirambi Dkt. Shein kufuatia kifo cha Mwakilishi wa...

Marehemu  Mh. Salmin Awadh enzi za uhai wake. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amempelekea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali ya wanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM-SO) yakanusha kumpigia...

Rais wa Serikali ya Wanafunzi IFM-SO, Clinton Boniface. Serikali ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitia msemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, ndugu Clinton...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Pinda : Tutaunganisha nguvu kwa mgombea urais atakayeteuliwa na chama

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwahutubia wananchi wa tarafa ya Pawaga leo. Waziri Mkuu Pinda akiwapungia mikono wananchi wa tarafa ya Pawaga leo. Wananchi wa tarafa ya Pawaga wakimshangilia Waziri Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania kuwekeza dola milioni 120 katika mtandao wake 2015

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano akiongea na waandishi wa habari kuhusu kampuni yake itakavyowekeza mwaka huu, Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha. Tigo Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Pinda katika jimbo la Isimani na Kalenga mkoani Iringa

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda  akisalimiana na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Mlowa katika jimbo la Ismani  kabla ya kuzindua kituo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa  Februari 19, 2015. (Picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pata dondoo za vichwa vya habari mbele na nyuma vya magazeti ya leo Feb 20 hapa

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

African Princess Tausi to host Dinner & Dance

Tausi Likokola was the first high fashion model to cross over international modeling industry on the 90’s with credits from fashion houses such as Gucci, Christian Dior, Issey Miyake, Tommy Hilfger,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mboni Mhita afunguka, apongezwa kila kona

Mboni Mhita. Na Andrew Chale wa  modewji blog Mteule wa Rais kwa nafasi ya ukuu wa Wilaya, iliyotangazwa juzi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,  mwanadada mtetezi wa wanyonge, vijana na watu mbalimbaali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Push Observer yazindua teknolojia ya kisasa ya ukusanyaji wa Taarifa...

Mshauri mkuu wa mradi wa NewsRadar, Romana Gersuni kutoka Ujerumani akielezea jinsi teknolojia hiyo mpya na ya kisasa ya ukusanyaji taarifa mbalimbali ya Push Observer inavyofanyakazi zake. Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi wauwaga mwili wa marehemu Salmin Awadh Salmin Baraza la Wawakilishi

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowassa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami...

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Albino kuandamana kwenda Ikulu kupinga vitendo vya mauaji dhidi yao

Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live