Kampuni ya Trumark yaandaa warsha maalumu maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika...
View ArticleKongamano la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kufanyika tarehe...
Kaimu Kamishna Msaidizi Kitengo cha huduma kwa familia, watoto, malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Philbert Kawemama (kulia), akizungumza na waandishi...
View ArticleBango Sangho yawezesha wanafunzi 150 Shule ya msingi Kibugumo kuketi
Balozi wa India nchini, Mh. Debnath Shaw akisalimiana na Daktari bingwa wa Afya ya jamii na familia, Dkt. Ali Mzige kwenye hafla fupi ya kukabidhi madawati 50 pamoja majengo mawili ya shule ya msingi...
View ArticleUzalendo, Uadilifu na Maslahi ya Taifa: Wajibu wa Vyombo vya Habari Jamii
Mshehereshaji kwenye madhimisho ya siku ya redio duniani, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani...
View ArticleBenki ya NMB yagawa msaada wa madawati na meza za walimu wilayani HAI
Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati 40 na meza za walimu wenye thamani ya sh. milioni 5 katika shule za msingi Mwaramu, iliyomo wilayani humo,huku msaada huo ukiwa umetokana na faida inayopata...
View ArticleVIDEO: Mazungumzo na Mhe. Balozi Mustafa Nyang’anyi Pt III
Karibu sana na asante kwa kujiunga nasi katika kipindi hiki cha HUYU NA YULE Tumepata fursa ya kuongea na Mhe. Balozi Mustafa Nyang’anyi Tumefanya mazungumzo naye ya sehemu nne, kueleza safari yake...
View Article2015 MISA’s ‘Women to Watch’: Nominate Hoyce Temu, Vote Tanzania… Vote now
Former Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu on field during the recording of her TV talk show. She also has her own talk show, Mimi na Tanzania (Me and Tanzania), which focuses on CSRs, fundraising, and...
View ArticleZiara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Singapore
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvu akiwa na ujumbe watendaji wa NHC na Wizara yake amezuru Singapore na kutembelea Bodi ya Maendeleo ya Nyumba na Wizara ya...
View ArticleVestel is looking for trade partners for Home Appliances and Consumer...
Including Mobile Phones, Flat TV, refrigerators, washing machines, cooking appliances, dishwashers, and air conditioners Vestel (VESBE:TI) (VESTL:Istanbul) (http://www.vestel.com/homepage) is looking...
View ArticleMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali...
Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani...
View ArticleBreaking News: Mtoto Albino akutwa ameuwawa kikatili
Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo pichani.(Picha na Maktaba) Mwili wa mtoto wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyeporwa mikononi mwa mama yake juzi Mkoani Geita,...
View ArticleUN yataka juhudi zaidi kukabili mauaji ya Albino
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na...
View ArticleSerikali yawapiga msasa madereva wanaosafirisha kemikali
Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samweli Manyele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mdereva wa magari yanayosafirisha kemikali ndani na nje ya nchi, mafunzo yanayolenga kuwajengea uwezo wa usafirishaji...
View ArticleBreaking News: JK afanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya huku wengine...
Habari zilizotufikia hivi punde Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya leo mjini Dodoma kwa taarifa iliyotangazwa na Waziri Mkuu...
View ArticleMajina ya wakuu wa wilaya wapya na vituo vyao kama yalivyotangazwa na Mh....
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda. ORODHA YA MA-DC 18.02.2015.doc by moblog
View ArticleDkt. Bilal azindua Barabara ya Km 10 ya Msoga-Msolwa na kagua mzani mpya wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist...
View ArticleNgoma ya asili ya Zanzibar yawa kivutio Oman
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Bi Hindi Hamadi Khamis katikati akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar wa Abeid Karume akisubiri kuwasili kwa Wajasiriamali, Wasanii na...
View ArticleKonyagi yawa mshindi wa pili tuzo za uzalishaji bora Tanzania
Watendaji wakuu wa kampuni ya Tanzania Distilleries Limited maarufu Konyagi, wakifurahia kombe kombe la ushindi wa pili wa tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa Mwaka 2014 baada ya kukabishbiwa kutoka...
View ArticleVijana wilayani Kasulu wapewa somo kuhusu fursa za Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Dani Makanga akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliofika ofsini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuendelea na ratiba...
View Article