PSPF watoa semina kwa askari na watumishi raia makao makuu ya Wizara ya Mambo...
Afisa Matekelezo Mwandamizi(SCO) wa mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Matilda A. Nyallu akitoa elimu ya Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kwa Askari na watumishi raia makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani...
View ArticleNAPE aitaka tume kujibu hoja kwa wakati
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva akisalimia na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili...
View ArticleCoastal Aviation mpango mzima na Sauti za Busara 2015
Na Andrew Chale “ALL THE ALL FOR THE SOUNDS OF WISDOM!” Coastal Aviation We have arranged MORE THAN 20 FLIGHTS A DAY throughout the weekend to support the festival and allow everybody to enjoy this...
View ArticleMatokeo ya kidato cha nne yatangazwa, Sekondari ya Kaizirege yaongoza..List...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini,Dk. Charles Msonde. Ufaulu Kidato cha Nne 2014 wapanda kwa asilimia 10 Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani...
View ArticleDkt. Bilal ahudhuria misa maalum ya kumuombea marehemu Evodius Walingozi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Askofu Eusebius Nzigilwa, wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo...
View ArticleNew World Bank Group Push to Revive Agriculture, Avert Hunger for over One...
Makhtar Diop, World Bank Vice President for Africa. Record 10,500 tons of seed to be delivered for April planting season In a concerted push to revive agriculture and avert hunger in Ebola-hit...
View ArticleCHADEMA yawataka Wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura
Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika hotel ya New Arusha jijini humo. Viongozi wa...
View ArticleNSSF yaanza rasmi usajili wa vijana Sports academy
Baadhi ya wazazi wakiwasimamia watoto wao katika zoezi la kujaza fomu kwa ajili ya kujiunga na kituo kipya cha michezo cha NSSF-Real Madrid Academy. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa...
View ArticleMaandalizi sensa ya viwanda yakamilika, Serikali yawataka wadau kutoa...
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari 23,...
View ArticleMwalimu apongezwa kwa kusimamia maabara
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi, akiwa nje ya jengo la maabara la shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani...
View ArticleTanzania yaipongeza China kwa misaada ya kimaendeleo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe akitoa hotuba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika sherehe ya...
View ArticleDioniz Malinzi asimikwa ukamanda wa vijana mkoa wa Kagera
Boda Boda wakiongoza msafara wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuelekea katika Uwanja wa Mayunga Uhuru Platform tayari kwa kumsimika Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal, akabidhi Tunzo ya Rais ya Mzalishaji Bora mwaka 2014
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia maonesho mbalimbali kwenye hafla ya utoaji Tunzo ya Rais ya mzalishaji bora Mwaka 2014 wakati wa chakula...
View ArticleRais Kikwete aomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa
Mrithi wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa (wa kwanza kushoto) enzi za uhai wake akiwa na machifu wasaidizi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za...
View ArticleMkurugenzi mkuu mstaafu wa NHIF Bw. Emmanuel Humba aagwa rasmi
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla...
View ArticleTanzania Bloggers Network wamfariji Mzee Kitime kwa kufiwa
Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamuziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa...
View ArticleWaziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kufungua mkutano wa kikanda juu ya ukuaji na...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda (Mb). Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) imeandaa mkutano wa kikanda utakaokutanisha viongozi na watunga sera kutoka...
View ArticleKampuni ya Tigo yatoa msaada Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya...
View ArticlePinda akagua dawati la bei nafuu na imara
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini...
View Article