Habari zilizotufikia hivi punde Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya leo mjini Dodoma kwa taarifa iliyotangazwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa niaba ya Rais hivi punde, huku Paul Makonda aula na kuwa DC wa Kinondoni.
Modewjiblog itakueletea taarifa kamili hivi punde endelea kuperuzi mtandao wetu.