Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda aanza ziara ya mkoa wa Iringa

$
0
0

PG4A1322

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).

PG4A1341

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma  ya kikundi cha Mangala  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015.

PG4A1363

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoan Iringa Februari 18, 2015.

PG4A1371

PG4A1383

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua maabara ya Chuo Kukuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa wakati alipotembelea Chuo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 18, 2015. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mkadala.

PG4A1389

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akimsikiliza Mtalaamu wa Mifumo ya computer wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, Ibrahimu Mwahu wakati alipokagua maabara ya chuo hicho akiwa katika zaiara ya mkoa wa Iringa Febtuari 18, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru Kawambwa.

PG4A1460

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kupokea taarifa ya mkoa wa Iringa kwenye ikulu ya Iringa Februari 18, 2015. Kushoto ni Mkuu wamkoa wa Iinga , Amina Masenza. Mheshimiwa Pinda yuko katika ziara ya kikazi mkoani Mbeya.

PG4A1455

Baadhi ya viongozi wa mkoawa Iringa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakatia alipozungumza nao Februari 18, 2015 akiwa katika ziara mkoa wa Iringa Februari 18, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles