Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es...
View ArticleRais Kikwete akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini...
View ArticleSafari ya Mwisho ya DCP Mstaafu wa jeshi la Polisi Tanzania , Mzee Andrew...
Jeneza lenye Mwili wa marehemu Mzee Andrew Michael Kumalilwa ukiwa tayari kushushwa nyumbani kwake Tabata Segerea ambapo misa ya kumuombea na kutoa heshima za mwisho zilifanyika kabla ya Kwenda...
View ArticleSamsung goes ‘Beyond the Limit’ with its annual Africa Forum
Samsung Electronics (http://www.samsung.com/africa_e) is introducing a range of products to the African market at the sixth annual Africa Forum in Antalya, Turkey, as the company continues to...
View ArticleToday is Robert Mugabe’s 90th birthday, read his witty charisma here
Today is Robert Mugabe’s 90th birthday. For the last 34 of those years, he’s been Zimbabwe’s leader, and his life history in intrinsically linked with the country: It’s where he’s been a guerrilla...
View ArticleKusaga: Habari za kuuzwa Clouds Media Group ni uzushi wa kupuuzwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga. Na Mwandishi Wetu, Dar TAHARUKI iliyosambaa jana kwenye mitandao kijamii juu ya kuuzwa kwa Clouds Media Group, inayomiliki Clouds...
View ArticleSIDO Iringa yawakopesha wajasiriamali wadogo zaidi ya sh milioni 229.9
Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya. Na Fredy Mgunda, Iringa SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 229.9 kwa...
View ArticleWaziri Saada Mkuya awataka wahitimu mbalimbali nchini kujiajiri pasipo...
Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar wakiingia katika Viwanja vya Mahafali chuoni hapo. Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Sita ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Waziri wa...
View ArticleMatukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda katika ziara yake mkoa wa Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chief huyo,...
View ArticleMkutano mkuu wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya utalii Zanzibar (ZATI)...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) Bi. Pamela Mattheuu (aliesimama) akielezea hali ya Utalii ilivyo kwa sasa na kupanga mikakati ya kuitangaza zaidi sekta...
View ArticlePINDA akagua miradi mbalimbali Iringa mjini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia walimu wa Shule ya Sekondari ya Kihesa, Iringa mjini kabla ya kukagua ujenzi wa Maabara na kuhutubia wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 22,...
View ArticleKairuki afunga mkutano wa ukuaji wa miji Afrika Mashariki
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Mendeleo ya makazi,Mhe:Angela Kairuki, akiongea na Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika Mashariki wakati wa kufunga Mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na...
View ArticleThe Mohamed Amin Africa Media Awards – Call for Entries
Mohamed Amin Africa Media Awards – Celebrating Excellence AFRICA24 MEDIA, the Pan African, international quality, multi-platform content provider, joins MoSound, East Africa’s premiere events company,...
View ArticleSerikali yaahidi kuipiga jeki NACTE
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto)akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela wakati alipokuwa...
View ArticleUNCDF Call for Investment (Project) Proposals in Tanzania
This United Nations Capital Development Fund (UNCDF) call for investment proposals is the first in Tanzania under the Local Finance Initiative (LFI) programme which is being implemented in partnership...
View ArticleMkurugenzi Alex Msama amwaga misaada kwa vituo vya watoto yatima, alaani...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Halima Ramadhan Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwadaliwa kilichopo...
View Article7 Habits of the World’s Richest People
BY JAYSON DEMERS | INC. Are there habits wealthy people consistently practice that impact their success? Are there traits or strategies we can incorporate into our own day-to-day lives that can give...
View ArticleMbatia aonyesha wasiwasi juu ya sera mpya ya elimu
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Zanzibar, Musa Kombo Musa (kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia (katikati), ili azungumze na wanahabari Dar es Salaam leo...
View ArticleSerikali yapata sh. bilioni 15 za kulipa madeni ya Mahindi
SERIKALI Serikali imepata mkopo wa sh. bilioni 15 ambazo zitatumika kulipa kiasi cha madeni ya mazao ya nafaka ambayo wakulima wanaidai kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA). Hayo...
View ArticleBrien Holden Vision yatoa msaada wa vifaa vya kupimia macho Wilaya ya...
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute, Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati alipofika katika hospitali ya Wilaya ya Mkuranga kukabidhi msaada wa vifa vya macho...
View Article