Kampuni ya Tigo yawawezesha walimu manispaa ya Morogoro kupata mawasiliano bure
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano (katikati) akimkabidhi simu aina ya Smartphone Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Bungo Manispaa ya Morogoro Roman Luoga (kulia), ikiwa ni mpango wa...
View ArticleRais Kikwete amkabidhi H.H. The Aga Khan hati ya chuo kikuu cha Aga Khan...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015...
View ArticleGauni la Lupita Nyong’o gumzo tuzo za Oscars
Na Modewjiblog team Mitandao mbalimbali ya kijamii pamoja na majarida makubwa duniani yametoa habari ya gauni la mcheza filamu, mwanamitindo, mwenye asili ya Afrika Mashariki, Lupita Nyong’o wakati wa...
View ArticleMhe. Samwel Sitta akutana na WanaDMV afafanua vifungu vya Katiba iliyopendekezwa
Mhe. Samwel Sitta amewasili nchini Marekani siku ya Jumapili Februari 22, 2015 na baadae jioni kukutana na Watanzania wa DMV na kuwafafanulia vifungu vya katiba iliyopendekezwa hasa kwenye swala la...
View ArticleWanahabari wawafariji yatima, jijini Arusha
Waandishi wa Habari wa Arusha wakitoa Zawadi zao za “Valentine’s day” kwa watoto wa kituo cha Huruma Children’s Trust Kwa Morombo, Jijini Arusha, kama ishara ya Upendo na Kuwajali watoto yatima katika...
View ArticleTAMWA yawataka waandishi wa habari kujikita kuripoti unyanyasaji wa kijinsia
Mkufunzi Wence Mushi akitoa elimu kwa wanahabari waliokutana mkoani Iringa. Na Fredy Mgunda, Iringa Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan...
View Article12 African Countries That Score Highest For Freedom Of Press
A free press always has a positive influence on the economy and on governance, according to findings in a UNESCO report. It expands participation in political decision making beyond a small inner...
View ArticleTCRA yatoa taarifa kuhusu tozo kwenye simu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Mkoma. taarifa_kwa_UmmaGharama_za_Vifurushi_Feb_2015.pdf by moblog
View ArticleRiskMap 2015: Sub-Saharan Africa’s growth has outpaced political reform
2015 will start to show some of the political limits to sub-Saharan Africa’s growth story – Control Risks Control Risks (https://www.controlrisks.com), the global business risk consultancy, today...
View ArticleTASAF ‘Wanahabari tembeleeni vijijini ilikuibua kero za huko’
Mkurugenzi mtendaji TASAF, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha kazi kilichohudhuriwa na waratibu wa mpango, wahasibu wa mpango, maafisa ufuatiliaji na baadhi ya waandishi wa habari kutoka mkoa wa...
View ArticleRais Kikwete amtumia salamu za pongezi Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga
Padre Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga aliyeteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki la Shinyanga. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticlePinda azindua uandikishaji daftari la wapiga kura
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Uboreshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian...
View ArticleSerikali ya Tanzania, UNICEF waendesha warsha kwa vyombo vya habari kuzuia...
Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo. Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini. Mmoja wa washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo. Kimela Bila Mwandaaji wa...
View ArticleSh Milioni 100 zahitajika kukamililishia ujenzi wa kituo kipya cha ZBC
Aliyenyoosha mkono ni Mkuregenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Nd. Hassan Abdalla Mitawi akitoa maelezo kwa Waziri wa Habari Zanzibar. (Picha na Miza Othman Maelezo-Zanzibar). Fundi...
View ArticleMtoto wa mwaka mmoja afungiwa ndani kwa miezi sita huku akiteswa na kula...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura. Katika kile kinachoelezwa kitendo cha kikatili, dhidi ya watoto kushamiri, Mtoto wa mwaka mmoja na miezi sita (jina limehifadhiwa ),anadaiwa...
View ArticleTo the Woman Entrepreneur stuck at work
Are you tired of the day to day routine? Are you disinterested or even miserable at your job? Do you miss your kids’ activities? Are you ready for more vacation time? I remember sitting at my desk at...
View ArticleNielsen: GDP, Population and Governance Data Alone Are Not Enough to Predict...
New report shows hard retail data, consumer needs and behavior, combined with macro-economic datasets, are better indicators of opportunity and success in African markets For brands eager to tap into...
View ArticleJK apokea vitabu vya sayansi kwa shule za Sekondari vilivyochapishwa kwa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua...
View ArticleTPB yaunganisha matawi yake na Mkongo wa Taifa
Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (kushoto) akipokea hati ya mradi wa mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) toka kwa Ofisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Senzige...
View Article