Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda azindua uandikishaji daftari la wapiga kura

$
0
0

PG4A2681

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  Uboreshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2711

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kazi ya uandikishaji wapiga kura baada ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2631

Baadhi ya watalaamu wa kuandikisha wapiga  wakiwa na zana za kazi kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.

PG4A2718

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA  John Mnyika wakitazama kadi mpya ya mpiga kura baada ya Waziri Mkuu, kuzindua uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.

PG4A2764

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekititi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva (kushoto), Naibu Katibu Mkuu na Katibu Mwenezi wa CHADEMA, John Mnyika (kulia), Yusufu Mbungiro ambaye ni Afisa Uchaguzi na Mafunzo taifa wa Chama cha CUF (wapili kushoto) na Allan Bujo ambaye ni Mkuu wa Ulinzi wa CHADEMA baada ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.

PG4A2770

PG4A2799

PG4A2632

 Baadhi ya watu waliohudhuria  katika Uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mji mdogo wa Makambako wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo  Februari 24, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2634

PG4A2637

PG4A2656


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles