Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Ziara ya Pinda katika jimbo la Isimani na Kalenga mkoani Iringa

$
0
0

PG4A1478

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda  akisalimiana na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Mlowa katika jimbo la Ismani  kabla ya kuzindua kituo hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa  Februari 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1506

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipima mapigo ya moyo ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha afya cha Mlowa katika jimbo la Isimani akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari  19, 2015.

PG4A1718

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizindua  nyumba za walimu katika shule ya sekondari ya Kiwere katika jimbo la Kalenga akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015.  Kushoto  ni Mkuu wa Shule hiyo, Blandina Nkondola na  wapili kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Gerlad  Guninita.

PG4A1706

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizindua  nyumba za walimu katika shule ya sekondari ya Kiwere katika jimbo la Kalenga akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015.  Kushoto  ni Mkuu wa Shule hiyo, Blandina Nkondola na  watatu kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Gerald  Guninita.

PG4A1680

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari ya  Kiwere  katika jimbo la Kalenga wakati alipotembelea maabara ya Kemia na Fizikia ya shule hiyo akiwa katika  ziara ya  mkoa wa Iringa  Februari 19, 2015.

PG4A1686

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo ya kumfanyia upasuaji panya  yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi  wa kidato cha tatu, Rosemary Kapugi   (kushoto) na Faudhia Ndunguru Wapili kushoto) wakati alipotembelea maabara ya Baiolojia ya shule ya sekondari ya Kiwere katika jimbo la Kalenga akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa, Februari 19, 2015. 

PG4A1695

PG4A1728

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  (kushoto) na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kiwere  katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa baada ya kuzindua nyumba za walimu shuleni hapo  akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1584

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua matrekta madogo maarufu kwa jina la Power Tiller yanayotumika katika shamba la kilimo cha umwagiliaji la Magozi katika jimbo la Ismani wakati alipolitembelea shamba hilo akiwa katika ziara ya mkoawa Iringa Februari 19, 2015. Watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina asenza.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A1642

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images