Rais Kikwete amteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro(pichani) kuwa Mbunge. Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na...
View ArticleADB, JICA waipiga jeki Serikali
Waziri wa Ujenzi Dkt John Magufuli akisistiza jambo kwa waandishi wa wakandarasi mapema hii leo jijini Dar es Salaam, wakati wa utiaji saini mikataba mitatu ya ujenzi wa barabara. Mwakilishi wa...
View ArticleRais Kikwete akiwa mgeni rasmi sherehe ya Siku ya watu wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi...
View ArticleKenya: Statute Law Bill poses grave threat to civil society and must be...
A group of United Nations Special Rapporteurs today urged the Government of Kenya to reject legislation that would impose severe restrictions on civil society. “The Bill is an evidence of a growing...
View ArticleCharity Christmas Fair on 8th & 9th December @ Seacliff
Have you any unwanted Books or Toys laying around & don’t know what to do with them, Donate them to Good Cause, Give them a new home @ Charity Christmas Fair on 8th and 9th December bring them...
View ArticleStatus Communications yaingia mkataba na Blue Sky Media kuwawezesha...
MKurugenzi wa Kampuni ya Blue Sky, Richard Signeski (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam kuhusu ushirkiano...
View ArticleAfrican economies stand out for their high rates of growth and the effusive...
Mergermarket’s Deal Drivers Africa reports a total of 115 deals worth US$26.6bn taking place in the first three quarters of 2013 across Africa. The 2013 edition of Mergermarket’s Deal Drivers Africa...
View ArticleAfia Gesti akiwa na mke wa mtu
Kumradhi picha hii haihusiani na tukio hili. (Picha kwa msaada wa Mtandao) .Marehemu alikuwa anatembea na mke wa rafiki yake kitambo Na Mwandishi Wetu, MOblog Katika hali isiyokuwa kawaida Mtu mmoja...
View ArticleJK kuhudhuria mikutano miwili mikubwa ya kimataifa nchini Ufaransa ukiwamo wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wiki hii atahudhuria mikutano miwili mikubwa ya...
View ArticleMaelfu wafurika Mkutano wa Kinana Mbeya
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi wa Mbeya, katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii, Des 4, 2013 katika Uwanja wa Rwanda Nzovwe, wilaya ya Mbeya mjini, ikiwa...
View ArticleMatukio tofauti ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,Mh. Adam Malima, Bungeni Mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Mh....
View ArticleTata Madiba (Nelson Mandela) is no more….!
By Tracy Connor, Staff Writer, NBC News Nelson Mandela, the revered South African anti-apartheid icon who spent 27 years in prison, led his country to democracy and became its first black president,...
View ArticleMaadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kujitolea yafana jijini Dar
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel akihutubia Vijana (hawapo pichani) katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kujitolea iliyofanyika...
View ArticleSTAMICO na TANZANIAONE yaingia ubia wa kushirikiana
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe wakisaini hati za mkataba wa ubia...
View ArticleCCM ilivyoiteka Mbeya Mjini
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni. Maelfu ya wananchi...
View ArticleWashiriki wa Kigori wa Tanzania 2013 wawachengua mashabiki wa Skylight Band
Kikosi kazi cha Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba, Aneth Kushaba na Sam Mapenzi wakitoa burudani ya aina yake kwa mashabiki wa Band hiyo ndani ya kiota cha Thai Village...
View ArticleAsilimia 45 ya wanaolazwa hospitalini ni kutokana na ulevi wa kupindukia...
.Takwimu zinasema wagonjwa wengi waliolazwa ni madhara ya kunywa pombe kupita kiasi .Takwimu za huduma za jamii ongezeko la wagonjwa ni mara mbili katika miaka kumi .Wanawake vijana waongezeka...
View Article1.4 to 1.6 million living with HIV/Aids in Tanzania –THMIS Report
Ag. UN Resident Coordinator, Dr. Jama Gulaid, speaks to his fellow UN staffs to mark the Commemoration of the World Aids Day at Karimjee hall in Dar es Salaam. By. Staff Reporter THE Latest Tanzania...
View ArticleCFAO Motors wazindua rasmi JEEP mpya (Grand Cherokee 2014) jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza Basil Gadzios akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CFAO Motors Wayne McIntosh wakati wa uzinduzi rasmi wa gari mpya aina ya JEEP Grand Cherokee 2014...
View ArticleDar back up a free Palestinians territory
Some of the Government Officials, High Commissioners and UN Staff arrives at the International Solidarity Day which took place at Tanzania Institutes of Account (TIA) premises.(All photos by Zainul...
View Article