Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel akihutubia Vijana (hawapo pichani) katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kujitolea iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Vijana wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel (hayupo Pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kujitolea iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Amina Sanga akikagua moja ya Mabanda kujionea moja ya shughuli zinazofanywa na Vijana katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kujitolea yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel akikagua moja ya baadhi ya mabanda kuangalia shughuli za kujitolea zinazofanywa na Vijana.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UNDP) Mandisa Mashologu kushoto akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel mara baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kujitolea iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Mataifa Tanzania Bw.Benedict Kikove wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kujitolea yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.Picha Zote na Benjamin Sawe wa WHVUM.