Rais Kikwete aomboleza kifo cha Mzee Nelson Mandela
Marehemu Nelson Mandela. Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kupitia kwake, kwa mkewe Bi....
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT akagua shughuli za Wizara Wilayani Bagamoyo
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Bw. Job Masima akifukungua mafunzo ya siku moja ya Watumishi wa Umma wa Wizara ya Ulinzi na JKT mikoa ya Dar es Salaam na Pwani yaliyolengwa...
View ArticleMakamu wa Rais mgeni rasmi mahafali ya kwanza ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB)
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), Profesa Costa Ricky Mahalu akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani). MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), Profesa Costa Ricky Mahalu...
View ArticleMh. January Makamba awasili Washington DC
Naibu Waziri wa mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba akiwa na mkewe Ramona Makamba wakipokewa na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga(wapili toka kushoka) na mwenyekiti wa Vijimambo Baraka...
View ArticleIFC Helps Chinese Developer Construct Energy-Efficient Building in Tanzania...
IFC, a member of the World Bank Group, has agreed to provide financing to support Chinese developer CRJE Estate Ltd. to construct an energy-efficient commercial building in Dar es Salaam, the largest...
View ArticleJanet Pinda alamba Nondozz ya Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Jaji Barnabas Samata (kushoto) akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya Chuo Kikuu hicho, Mbunge wa Viti Maalum Pindi Chana katika Mahafali yaliyofanyika Chuoni...
View ArticleSekta ya Simu nchini Tanzania yapata neema baada ya kuingia kwa kampuni mpya
Sekta ya mawasiliano ya simu Tanzania na Afrika Mashariki leo imepata matumaini mapya kufuatia kuingia kwa kampuni mpya ya simu ya kipekee, ya ubunifu, yenye kwa jamii, na yenye ushindani kuliko zote,...
View ArticleTCRA yaipa Azam Media leseni kuiwezesha kuendesha shughuli zake
Azam Media Ltd imepata leseni kutoka Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA) na hivyo kuwa na uwezo wa kuanza rasmi shughuli zake hapa Tanzania. Hatua hii muhimu sasa inaiwezesha AzamTV kuanza kutoa...
View ArticleWatanzania waaswa kuheshimu Haki za Mtoto
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania (THBUB), Jaji Mstaafu Amir Manento akizungumza na waandishi wa habari wakati mdahalo wa Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu...
View ArticlePresident Kikwete speaks at the end of the Elysee Summit in Paris, France
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete speaks during a joint press conference at the end of the Elysee Summit for Peace and Security held in Paris and ended yesterday afternoon. The Summit discussed among...
View ArticleWazazi, walezi watakiwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao mashuleni
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilayani Ikungi, Olivary Kamilly akitoa taarifa yake wakati wa makabidhiano ya majukumu kati ya kamati iliyomaliza muda wake na ile inayotarajiwa...
View ArticlePinda azindua Jimbo la Kanisa la Sabato
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Jimbo la Kusini mwa Tanzania la Kanisa la Waadventista wa Sabato kwenye uwanja wa maonyesho wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba...
View ArticleMaadhimisho ya Miaka 52 ya Uhuru kufana, Wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu kukamilika kwa maadalizi ya sherehe za miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika tarehe 9...
View ArticleTBL yapata Tuzo Mbili za Ujairi Bora Tanzania
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi cheti kwa Meneja Rasilimali Watu Uhusiano wa Kibiashara (HR Business Partner) wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Emmanuel Christopher (kulia),...
View ArticleTCME washirikiana na VETA katika kutoa mafunzo ya uchimbaji madini kwa wazawa
Mgeni Rasmi katika sherehe za mwaka za Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (Tanzania Chamber of Minerals and Energy) Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizugumza kwa niaba...
View ArticleTatizo la Watoto wenye ugonjwa wa Vichwa vikubwa na mgongo wazi laongezeka
Afisa Muuguzi msaidizi wa taasisi ya tiba ya mifupa,mishipa ya fahamu na upasuaji wa Ubongo(MOI)katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,akitoa ushauri kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal ahitimisha mbio za Uhuru (Uhuru Marathon) kwenye...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru (Uhuru Marathon) zilizomalizikia kwenye Viwanja vya Leaders...
View ArticleErick’Msengii’natianota na Herieth wameremeta jijini Dar
Waliomeremeta wakiingia ukumbini kwa raha zao huku wageni waalikwa wakiwafurahia. Bwana Harusi Erick’Msengii’Natianota akimlisha cake mke wake kipenzi Herieth Kashangaki siku waliyoamua kuachana na...
View ArticleMhe. January Makamba atembelea Darasa la Kiswahili DMV
Naibu Waziri wa mawasiliano, sayansi na teknologia, Mhe. January Makamba akiongozana na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga siku ya Jumamosi Dec 7, 2013 College Park Maryland, siku alipotembelea darasa la...
View ArticleUsiku wa Uhuru DMV
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Januari Makamba akiongozana na mkewe Ramona Makamba wakiwasili ukumbini na kulakiwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchinii Marekani na Mexico...
View Article