Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Jaji Barnabas Samata (kushoto) akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya Chuo Kikuu hicho, Mbunge wa Viti Maalum Pindi Chana katika Mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Viti Maalum, Pindi Chana akishukuru baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya Chuo Kikuu cha Mzumbe na Mkuu wa Chuo hicho, Jaji Barnabas Samatta (wapili kulia) katika mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6,2013. Wanne kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na wasita kulia ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro.
toto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro.
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (Kulia) akipongezwa na mdogo wake Nasirika Nyema baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Mjini Morogoro.
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda akipongezwa na shangazi yake , Beatha Pinda Kaitira (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya uongozi katika mifumo ya afya kwenye mahafali ya chuo kikuu cha mzumbe mjini Morogoro.