Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Washiriki wa Kigori wa Tanzania 2013 wawachengua mashabiki wa Skylight Band

$
0
0

DSC_0331

 Kikosi kazi cha Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba, Aneth Kushaba na Sam Mapenzi wakitoa burudani ya aina yake kwa mashabiki wa Band hiyo ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Jma lililopita. Tukutane jioni ya leo kusheherekea pamoja mapumziko ya mwezi Desemba.

DSC_0334

Mguu wa Kulia mbele wa kushoto nyuma……Staili ya Mukanda wa chuma chuma…Mshabiki wa Skylight Band wakionyesha ufundi wao.

IMG_6595

Divas wa Skylight Band kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos na Winfrida wakitawala jukwaa ndani ya kiota cha Thai Village Juma lililopita kuwapa raha mashabiki wao.

DSC_0373

Rapa wa Skylight Band Joniko Flower akiwapigia Acapella washiriki wa shindano la Kigori wa Tanzania 2013 linaloratibiwa na Mtangazaji Maimartha wa Jesse walipotambulishwa kwa mashabiki wa Band hiyo ambapo hivi karibuni zitakuwa fainali za shindano hilo na mshindi kujinyakulia gari ni gari gani na wapi??? Endelea kuperuzi tutawajuza.

DSC_0370

Washiriki wa shindano la Kigori wa Tanzania wakionyesha manjonjo yao mbele ya mashabiki wa Skylight Band Juma lililopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0375

Mwandaaji wa shindano la Kigori wa Tanzania 2013 ambapo hapo awali lilikuwa likijulikana kama “Kimwana wa Manywele” Maimartha wa Jesse akipozi na washiriki wa shindano la Kigori watakaochuana hivi karibuni na mshindi kuondoka na gari mpya kabisa.

DSC_0315

Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo sambamba na Aneth Kushaba AK47 na Joniko Flower wakiwapagawisha  mashabiki wa Skylight Band.

DSC_0429

Skelewu……Skelewu…Like a that…Like a this…..Like a that….To your right…..To the front…..And your yansh to the back…Skelewu…..Skelewu…Skelewu……Skelewu…ske le le le le….Aneth Kushaba AK47 uzalendo ulimshinda na kuamua kuonyeshana ufundi wa kucheza na  mashabiki wa Skylight Band.

DSC_0433

Mdau Alois Ngonyani akishow love na Aneth Kushaba AK 47 ndani ya kiota cha maraha Thai Village Juma lililopita.

IMG_6608

Aneth Kushaba na Winfrida wakishambulia jukwaa.

IMG_6595

Palikuwa hapatoshi.

DSC_0437

Wadau wa Skylight Band wakishow love.

DSC_0442

Ifakara Family walikuwepo kuwakilisha.

DSC_0469

Irene wa Skylight Band mtaalam wa Saxophone. Njoo umshuhudie mwenye  usiku huu usingoje kusimuliwa.

IMG_6602

Digna na Irene wakishow some love na Ukodak.

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles