Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,Mh. Adam Malima, Bungeni Mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Mh. William Lukuvi (kushoto) akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Vyama vya wafugaji nyuki kutoka mkoa wa Tabora kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)