Askari wa Wanyamapori sasa kuajiriwa moja kwa moja kama Majeshi mengine
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akikwagua gwaride la heshima jana alipowasili Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa...
View ArticleNHIF yazindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji Mfuko wa Afya ya Jamii...
Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa...
View ArticleDon’t Miss It
“The burden of Dumah. He calleth to me out of Seir, Watchman, what of the night? Watchman, what of the night? The watchman said, The morning cometh, and also the night: if ye will enquire, enquire...
View ArticleKongamano la Uhuru wa habari WPFD kufanyika Morogoro Mei 2-3, wadau zaidi ya...
Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na...
View ArticleMashindano ya Lucy Owenya Cup yazinduliwa jimbo la Moshi vijijini
Mbunge wa viti Maalumu mkoa wa Kilimanjaro, Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika...
View ArticleBristol MBA Scholarships │ Huawei-She Leads Africa Fellowship and Many More
Apply for a Jacob Foundation Research Fellowship The Jacobs Foundation Research Fellowship Program is the only internationally open, competitive fellowship program for early and mid-career researchers...
View ArticleMbunge Natse awataka wananchi wa Karatu kujitokeza kwa wingi kujiandikisha...
Mbunge wa jimbo la Karatu mkoani Arusha mchungaji Israel Natse wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ambaye pia Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini akihutubia wananchi wake katika mkutano wa...
View ArticleAsya Idarous, Gusagusa Min Band ndani ya Uingereza kufanya maonyesho Mei 2 na 3
Bana ya shoo hiyo ya Gusagusa Min band na Asia Idarous Khamsin itakayofanyika nchini Uingereza. London, Uingereza Mbunifu wa mavazi nchini ‘Mama wa Mitindo’, Asia Idarous Khamsin yupo nchini Uingereza...
View ArticleDkt. Shein mgeni rasmi uzinduzi wa mbio za Mwengi wa Uhuru mkoani Ruvuma
Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (katikati) akishaurina na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushotoi) na Waziri wa Uwezeshaji , Ustawi wa Jamii...
View ArticleMbunge Ndesamburo na Meya wa Moshi Jafary Michael waendelea na mikutano...
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat. Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo...
View ArticleNHIF yaendelea na kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na CHF katika...
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi...
View ArticleRais Kikwete akutana na Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kisha kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam jana April 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko...
View ArticleVIDEO: Hotuba ya Mzee Mwinyi alipokutana na waZanzibar Washington DC
Hii ni Clip fupi ya Hotuba ya Mzee Ali Hassan Mwinyi alipokutana na waZanzibar Washington DC, mwazo Mwenyekiti wa Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) Omar Haji Ally aongea machahe ya kumkaribisha...
View ArticleWaziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia azungumzia kuporomoka kwa thamani ya...
Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia. Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kuporomoka...
View ArticleFanyeni redio zenu zitamanike, wamiliki redio jamii waambiwa
Mwezeshaji wa warsha ya Viongozi wa vituo vya redio jamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakati (ASMET), Bw. Ramadhan Ahungu akiendesha mafunzo ya...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. bilal aiwakilisha Tanzania katika mkutano wa dharura wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Hoteli ya Rainbow, jijini Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Viongozi wa...
View ArticleWaziri Mkuu aagana na Balozi wa Brazil
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Brazil nchini, Fransisco Carlos Soares Luz ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 29, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya...
View ArticleWorld Immunization Week Aims to “Close the Immunization Gap” and Provide “a...
Cervical cancer is the most common of all cancers in Africa The World Health Organization’s World Immunization Week (WIW) from 24th to 30th April this year aims to raise awareness about the...
View Article