Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mashindano ya Lucy Owenya Cup yazinduliwa jimbo la Moshi vijijini

$
0
0

DSCF4720

DSCF4689

Mbunge wa viti Maalumu mkoa wa Kilimanjaro, Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini na kushirikisha kata 16 za jimbo hilo.

DSCF4696

DSCF4697

Baadhi ya wananchi waliohudhulia ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.

DSCF4700

Mbunge Owenya akicheza ngoma katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup.

DSCF4705

Baadhi ya timu zinazoshiriki mashindano hayo zikiwa katika uwanja wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.

DSCF4707

Mratibu wa mashindano hayo, Charles Mchau akizungumza jambo katika ufunguzi wa mashindano hayo.

DSCF4717

DSCF4720

DSCF4722

Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Kilimanjaro, Lucy Owenya akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015, Mashindano yaliyoanza katika jimbo la Moshi vijijini yakishirikisha kata za Jimbo hilo.

DSCF4728

Mbunge wa Viti Maalum Lucy Owenya akisalimianana mwamuzi Batista Mihafu wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo.

DSCF4731

DSCF4732

Mbunge wa Viti maalumu ,Lucy Owenya akikagua baadhi ya timu zinazoshiriki mashindano hayo.

DSCF4734

Mbunge Lucy Owenya akipiga mpira kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup.

DSCF4739

Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kilimanjaro, Lucy Owenya akisalimiana na mmoja wa wachezaji wanaoshiriki mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yaliyozinduliwa juzi katika jimbo la Moshi vijijini na kushirikisha timu kutoka kata 16 za jimbo hilo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles