![]() |
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat. |
![]() |
Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo. |
![]() |
Ndesamburo akizungumza. |
![]() |
Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo. |
![]() |
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara . |
![]() |
Mbunge waMoshi mjini Philemoni Ndesamburo akimsikiliza Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi.(hayuko pichani) akiwa na viongozi wengine wa Chadema. (Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi). |