Benki ya Posta yajivunia utendaji bora kwa mwaka 2014 uliyoipa faida nono
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Kitewita Moshingi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza utendaji wa benki hiyo kwa...
View ArticleShindano la Mama Shujaa wa Chakula lazinduliwa rasmi na Mkuu wa wilaya ya...
Mgeni Rasmi katika Sherehe za uzinduzi Rasmi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Subira Mgalu akizindua Rasmi Mashindano hayo katika kijiji cha Kisanga Mashindano...
View ArticleWanazuoni wajadili mustakabali wa Tanzania demokrasia ya vyama vingi
Jaji Francis Mtungi akifungua mkutano wa wadau wa siasa wa uimarishaji demokrasia ya vyama vingi. Na Modewji Blog team Dk. Benson Bana wa Chuo Kikuu cha Dare s salaam ambaye amebobea katika masuala ya...
View ArticleExclusie gossip: Aunty Ezekiel ‘Kimeeleweka’ aanika tumbo lake dakika za lala...
Picha ya aliyoitupia mapema leo asubuhi kupitia IG yake ya AuntyEzekiel ambayo hadi sasa imeshapata LIKES nyingi pamoja na Comments huku watu wakimuombea. Na Andrew Chale wa Modewji blog Huenda...
View ArticleMalawi takes key step to advance digital payments and drive inclusive growth
Government, private sector, mobile operators and development organizations convene to establish a plan for the future Malawi took a significant step towards creating a digital payment ecosystem in...
View ArticleNew report from UN Women unveils far-reaching alternative policy agenda to...
“Progress of the World’s Women 2015-2016: Transforming Economies, Realizing Rights” launches in seven cities A major report from UN Women, released today in seven locations globally, brings together...
View ArticleRais Kikwete ateua Majaji wawili wa Mahakama ya Rufaa
Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24,...
View ArticlePinda akutana na Dangote
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kulia kwake) na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili...
View ArticleClouds FM yashinda tena tuzo ya ubora ya Superbrand kwa mara ya tatu Afrika...
Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce...
View ArticleWakuu wa taasisi za takwimu wa nchi za Afrika wakutana jijini Dar
Watalaam na wakuu wa Ofisi za Takwimu kutoka katika nchi mbalimbali za Bara la Afrika wakifuatilia masuala mbalimbali wakati wa kongamano la Kimataifa la siku 2 linalojadili masuala ya Uongozi na...
View ArticleWafanyakazi wahimizwa kujitokea kujiandikisha katika daftari la kudumu la...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba...
View ArticleMratibu wa asasi ya Better Living Aid atoa wito kwa wafanyabiashara wa vifaa...
Watangazaji Hamisa Mussa Lubilo na Deogratius Yagomba wa VOT fm 89.0 wakimuuliza maswali mratibu wa asasi ya Better Living Aid walipomualika leo asubuhi katika kipindi cha Meza huru Mratibu wa asasi...
View ArticleNews Alert: Dr. Tausi Kida new Executive Director of Economic and Social...
Dr. Tausi Mbaga Kida. Press Release Dr Kida_1st_May_2015_FINAL.docx
View ArticleBreaking News!! Hali si shwari milima ya Udzungwa, Wanajeshi waingia kazini...
*Update zilizotufikia hivi punde inasemakana watu 6 wamejeruhiwa kwa risasi, akiwemo mtu aliyeripotiwa kufariki dunia katika hao 6 katika kijiji cha Nyandeo Msolwa wilayani Kilombero… Taarifa zaidi...
View ArticleSherehe za Mei Mosi zilivyofana mkoani Kilimanjaro
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme(TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro wakipita na gari lao mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu chaUshirika mjini Moshi....
View ArticleDk. Mahanga atembelea kiwanda cha TBL Mwanza
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Roberto Jarrin (kulia) na katibu Mkuu wa TUICO, Boniface G Nkakatisi (kushoto) wakitiliana saini mkataba wa hiyari wa maboresho ya maslahi ya wafanyakazi wa TBL.Katikati...
View ArticleHESLB yaanza kupokea maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB – Bw. George Nyatega. Na Mwandishi Wetu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) jana (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia...
View ArticleUNESCO yafurahia mabadiliko redio jamii
Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiendesha mafunzo ya matumizi ya kutumia TEHAMA kwa kupeleka na...
View ArticleDelivery is critical in e-tail transactions, says DHL
Head of Sales for DHL Express Sub Saharan Africa, Sumesh Rahavendra. As e-commerce continues to gain popularity across the African continent, more effort needs to be paid towards facilitating flawless...
View ArticleExclusive gossip: Wabongo ‘wamtibulia’ mwanadada wa Zimbabwe kwa Amber Rose...
Picha hii ndio iliyozua ‘zengwe’ baada ya watanzania waishio Bongo na UK kutukanana matusi na Wazimbabwe waishio Uingereza (UK), ambapo hata hivyo, AmberRrose ameiondoa katika mtandao wake wa...
View Article