Quantcast
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu ya Wizara ya Fedha (UTT-PID)...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick  (katikati),  akipata maelezo toka kwa  banda la UTT-PID juu ya Miradi wanayofanya katika mikoa mbalimbali nchini,  kulia ni Uli Mtebe Afisa Mwandamizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO:Rais Kikwete aishukuru na kuipongeza kamati ya amani ya viongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IPTL/PAP sponsors Zalendo Games

Independent Power Tanzania Limited (IPTL), a subsidiary of Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) has made it possible for young Tanzanians to showcase their talents in playing unique rare...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF Stakeholders meeting – postponed

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam afungua maonyesho ya Dar Property Expo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akikata utepe kufungua maonyesho ya uwekezaji katika majengo yajulikanayo kama Dar Property Expo kwenye ukumbi wa VIP wa Diamond Jubilee jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wababe wa dunia:Floyd Mayweather amshinda Manny Pacquiao kwa pointi 6

Masumbwi ‘Mawe’ yalivyokuwa kwenye pambano hilo Las Vegas, USA Tayari Dunia imeshamtambua mbabe zaidi Duniani katika masumbwi ni nani, baada ya pambano la karne ambalo lilipewa ‘kiki’ kubwa  duniani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi Mkoa wa Magharibi kichama zafana...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Proin Promotions na Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji wazindua rasmi...

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mheshimiwa Diodorus Kamala[l] akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali katika uzinduzi wa filamu za kitanzania ambazo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Leo Mei 3 ni siku ya kuzaliwa mdau Mh.Shy rose Bhanji, hongera sana

Mh. Shy rose Bhanji  ambaye leo Mei 3, ametimiza miaka kadhaa. Happy Birthday  Shy rose. Na Andrew Chale, Modewji blog Leo ni siku muhimu kwa mdau mkubwa wa Mo blog,  Mbunge wa Bunge la Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive gossip: Paul wa kundi la Psquare ampeleka mwanae klabu ya Chelsea Fc

Paul Okoye  wa Psquare akiwa na mtoto wake wa kiume, Andre (2) ambaye  pia ameamua kumuingiza mtoto wake huyo kuwa ‘mnazi’ wa klabu ya Chelsea ambapo anamtabilia atakuwa mchezaji wa Kimataifa na wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mastaa kibao waliohudhulia kwenye pambano la Mayweather dhidi ya Pacquiao

Beyoncé and Jay Z, accompanying Floyd Mayweather shortly after. Las Vegas, USA Billed as the “Fight of the Century,” the long-awaited bout between Floyd Mayweather and Manny Pacquiao took place at the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umoja wa Ulaya, UN; Tutapigania Uhuru wa Habari Siku Zote

Meza kuu katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Kutoka kushoto ni  Makamu wa Rais wa Umoja wa Vilabu vya waandishi wa Habari nchini (UTPC), Jane Mihanji, Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive: Tazama picha 15 pindi utakapokuwa na na ujauzito ustahili kufanya!

What made this couple think this was a good idea? I mean, did they not even look at these photos before sharing them with everyone? The baseball is a cute idea, but then lets have the dad stand next...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT!!! Mgomo wa madereva tena hali tete Ubungo na baadhi ya maeneo...

Eneo la Ubungo ambalo kwa sasa mabasi yamegoma abiria wakiwa hawana la kujua nini la kufanya !!!!! taaarifa na picha zaidi zitaendelea kutolewa na mtandao huu ambao upo eneo la tukio!!. Na Andrew...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Blogger mkongwe nchini Adam Mzee afunga ndoa na Bi. Lilian Malekia

Mrs.Adam Mzee  mara baada kufunga pingu za maisha. Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka kushoto ni,Merry Geofrey,Sheila Simba,Hafidh Kido ,John Bukuku,Suleiman...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa Umma: Ufafanuzi juu ya kanuni ya uwianishaji wa Mafao ya Pensheni...

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Hifadhi ya Jamii nchini Tanzania (SSRA) Bi. Irene Kisaka

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchini, washinikiza wakutane na Wazri Mkuu...

Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye  jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN na EU Wavutiwa na Programu za Radio za Jamii Morogoro

Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza na kikundi cha akinamama kinachotengeneza vikoi na bidhaa mbalimbali mjini Ifakara. Kikundi hicho kimewezeshwa na EU na Umoja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Balozi Mulamula Katibu Mkuu mpya Wizara ya Mambo ya Nje na...

Balozi Liberata  Rutageruka Mulamula Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata  Rutageruka Mulamula kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive Mgomo wa madereva: Mabomu ya Machozi muda huu yapigwa hali mbaya

Kiongozi wa madereva nchini, Rashid Said, akiongea na umati wa madereva kaatika sakata hilo ambapo alikuwa akitoa ufafanuzi na namna ya kumsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike eneo hilo kuongea na...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live