Exclusive Usiku huu Mgomo wa Madereva: Abiria walala ndani ya mabasi Ubungo,...
Mwandishi Mwandamizi wa Modewji blog (mtandao huu), Andrew Chale akiwa ndani ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo, Jijini Dar es Salaam akiendelea ‘kusaka’ habari hasa...
View ArticleImmense Potential of $80 Billion African Aviation Market in the Spotlight at...
First-ever Aviation Africa to bring together world’s leading airlines, ministers and authorities including IATA, Rwandair, CAA Ghana, to discuss untapped market’s significant opportunities Aviation...
View ArticleMh. Kitwanga, asikitishwa na mtindo wa “Tegesha” unaofanywa na wananchi eneo...
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (kushoto), akisalimiana na Meneja Uendelezaji wa kampuni ya Acacia, Asa Mwaipopo, wakati alipofika kwenye kijiji cha Nyakunguru, kilicho jirani na...
View ArticleMvua za masika Zanzibar zasababisha vifo na uharibifu wa miundo mbinu
Pichani juu na chini ni baadhi ya sehemu za Unguja zilizoathirika na mvua za masika zinazoendelea kunyesha visiwani humo.(Picha zote na Othman Maulid wa www.zanzinews.com) Na Abdulla Ali-Maelezo...
View ArticleMvua yasababisha mafuriko Moshi vijijini, Mbunge Lucy Owenya awafariji...
Mbunge wa viti maalumu, Lucy Owenya (Chadema) (kulia) akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini, Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo. Mafuriko makubwa...
View ArticleElimu zaidi yatakiwa kubadili jamii kuthamini maalbino
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye akiwakaribisha mameneja wa Redio za jamii nchini (hawapo pichani) walioshiriki kwenye mafunzo ya siku...
View ArticleExclusive siku ya pili mgomo wa Madereva;Mbowe wa Chadema atinga ashangiliwa
Mbunge wa Hai na Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe akiwasili kwenye ofisi za madereva Ubungo muda huu huku akishangiliwa… Na Andrew Chale, Modewji blog Mgomo ambao ulianza jana na...
View ArticleExclusive siku ya pili mgomo wa madereva: Wadumu masaa 31, DC Makonda auzima...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Poul Makonda akiongea na umati wa madereva na wapiga debe waliofurika ndani ya kituo cha mabasi Ubungo mapema leo ambapo amewataka madereva kuacha mgomo na waendelee na...
View ArticleScoop Exclusive: Matukio yaliyoajiri masaa 31 Mgomo wa madereva kituo cha...
Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Paul Makonda akiwa na maafisa wa jeshi la Polisi wakielekea eneo la nyuma jirani na ofisi za madereva. “Huenda hufahamu…basi tunakufahamisha sasa!!! Na Andrew...
View ArticleDC wa Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu awapatia matibabu ya bure walemavu wa ngozi
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu. Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na...
View ArticleWakunga wahimizwa kushirikiana kutengeneza taifa la kesho
Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika...
View ArticleSerikali yaanzisha kurugenzi ya wauguzi na wakunga
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wananchi kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya siku ya wakunga duniani mjini Musoma mkoani Mara. *Kutengewa bajeti yake kuanzia mwaka ujao wa fedha WAZIRI...
View ArticleACT Wazalendo wachangia damu hospitali ya Taifa Muhimbili
Muuguzi Mwandamizi Judith Kayombo akichanganya Damu wakati alipokuwa akimtoa Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba. Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni...
View ArticleWakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) yasajili na kutoa vyeti 5,081...
Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling’ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa...
View ArticleCelebrate Africa with DStv this May
This month, every day is Africa Day on DStv as we celebrate our dynamic and beautiful continent with an exciting array of local talent and vibrant, informative and entertaining homegrown programming....
View ArticleDC wa Kinondoni, Paul Makonda azungumzia maafikiano yaliyofikiwa kumaliza...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)...
View ArticleBalozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kuzindua timu ya wataalam wa mazungumzo katika mikataba ya gesi na mafuta kutoka serikalini na mafunzo yao maalum yaliyofanyika katika...
View ArticleMfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya...
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa...
View ArticleUN Secretary General condemns Killing of two Tanzanian Peacekeepers in Congo
Martin Kobler, the Special Representative of the Secretary-General in the Democratic Republic of Congo (in suit) tells Tanzanian peacekeepers he strongly admires them despite the tragic loss of 2...
View ArticleMipango na sera zitekelezwe kumuokoa mama na mtoto mchanga
Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada...
View Article