Wizara ya mambo ya nje yakabidhi msaada wa vyandarua hospitali 8 za Pemba na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimkabidhi Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman msaada wa Vyandarua kwa ajili ya kumaliza maradhi ya...
View ArticlePinda atembelea maonyesho ya biashara ya Syria yanayoendelea katika ukumbi wa...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea maua wakati alipoingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kutembelea maonyesho ya biashara ya Cyria Mei 6, 2015. Kushoto ni balozi wa Syria...
View ArticleSecurity Council Press Statement on MONUSCO peacekeepers
The members of the Security Council condemned in the strongest terms the attack against United Nations Organization Stabilization Mission in the Democratic Republic of the Congo (MONUSCO) peacekeepers...
View ArticleBenki ya CRDB kufanya mkutano wa ishirini wa wanahisa Jijini Arusha kesho
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB Dr,Charles Kimei akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha akitoa taarifa ya mkutano mkuu wa ishirini wa wanahisa wa Benki ya...
View ArticleILO Tanzania yaadhimisha miaka 5 ya kuwawezesha vijana Tanzania kupitia...
Naibu waziri wa kazi na ajira, Mheshimiwa Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari. Mshauri Mkuu wa Ufundi wa Mradi, Bwana Jealous Chirove, akielezea mafanikio ya mradi. Mkurugenzi Mkazi...
View ArticleBodi ya NHC yatembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba jijini Arusha
Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za...
View ArticleWaziri wa Afya afungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu usalama wa chakula
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni...
View ArticleExclusive mvua ya siku 3 Dar: Jiji lasimama, miundombinu kero tupu kila kona
Na Andrew Chale, Modewji blog Kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha kwa siku ya tatu leo imeendelea kusababisha uharibifu wa miundombinu mingi ya jiji la Dar es Salaam kuharibika vibaya huku...
View ArticleSoma tamko la Wanachama wa Policy Forum juu ya Miswada ya Takwimu na Makosa...
TAMKO LA WANACHAMA WA POLICY FORUM: Miswada ya Takwimu pamoja na Makosa ya Mtandao, 2015 Sisi, wanachama wa Policy Forum, Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali, tuliokutana tarehe 29 na 30...
View ArticleFaida za Ufugaji: Kware anaweza kuokoa maisha, kumaliza umasikini
Ndege aina ya Kware akiwa na mayai yake.. Wafugaji wa kuku nchini Tanzania, baadhi yao hivi sasa wamegeukia ufugaji wa ndege aina ya kware kutokana na umaarufu wa viumbe hao jamii ya ndege. Ndege...
View ArticleWorld Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation...
View ArticleTigo’s parent company Millicom making Internet more accessible to users...
Tigo Zanzibar branch. Tigo shop Mbagala. By Our Reporter During its Q1 2015 Results, released in April 2015, Millicom says it saw a 22 percent increase in its revenue which stood at $1.71 billion, and...
View ArticlePinda akutana na ujumbe kutoka Tume ya Haki za Binadamu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na...
View ArticleBodi ya Taasisi ya UTT-PID ya Wizara ya Fedha pamoja na Menejimenti yake...
Bodi ya UTT-PID ikiongozwa na mwenyekiti wake Mrs. E Mlaki pamoja na Menejimenti wakiwa na wenyeji wao katika jiji la Chengdu ambapo walifanya ziara katika maeneo tofauti ya uwekezaji na manufaa...
View ArticleTahadhari ya Tsunami inayosambazwa kwenye mitandao ya Jamii sio ya kweli
Tsunami.pdf by zainul_mzige21
View ArticleJumuiya ya vijana wasio na ajira yazinduliwa Zanzibar
Mratibu wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania Nd. Ussi Said Suleiman akitoa maelezo kwa Baadhi ya Vijana wasio na ajira waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya hiyo uliofanyika...
View ArticleDC wa Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akamata shehena kubwa ya ngozi ya magendo...
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (kushoto) akimhoji dereva wa lori aliyejitambulisha kama Bw. Kabyemela (mwenye tisheti jekundu) baada ya kuwekewa mtego na kukamatwa na shehena ya ngozi ya...
View ArticleDC Mpesya awamwagia sifa wafanyakazi mgodi wa Buzwagi, ni katika sherehe za...
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad...
View ArticleWaziri Mkuu akagua kiwanda cha viuadudu Kibaha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiakagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)....
View Article