Serikali yashauriwa kutunga sera ya kudhibiti pombe
Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana...
View ArticleVyuo 33 kanda ya Kati na Dar kupamba Tamasha la Elimu
Mratibu wa Tamasha la NACTE INTER COLLEGE TANZANIA 2014/2015, Bi, Magreth Kilawe,(kati), akifafanua kwa waandishi wa habari, kuhusiana na Tamasha la Vyuo vya Elimu ya Kati na Vilivyopata Usajili wa...
View ArticleJaji Lewis Makame afariki dunia
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Lewis Makame, amefariki dunia katika hospitali ya AMI Jijini Dar es Salaam. Taarifa za kuugua na kulazwa kwake, zilianza Mwezi uliopita, na...
View ArticleSerikali yaendelea kusimamia urutubishaji wa vyakula
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Gaudensia Simwanza (kushoto) akiwaeleza waandishi wa kuhusu udhibiti wa vyakula vilivyoongezwa virutubisho wakati wa mkutano uliofanyika katika...
View ArticlePinda afungua kiwanda cha Nondo cha Kamal Steel Limited
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua upanzi wa kiwanda cha Kamal Steel LTD kilichopo Chng’ombe jijini Dar es salaam August 17, 2014. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa kamal Steel...
View ArticleUstawi wa Jamii yakabiliwa na upungufu wa watumishi
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Na Mwandishi wetu Wizara ya Afya kupitia idara ya ustawi wa jamii, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa maafisa ustawi wa jamii katika...
View ArticleSerikali yajizajititi kusimamia haki za mtoto na marekebisho ya tabia
Afisa Ustawi wa Jamii Mkuu toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Steven Gumbo (kushoto) akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) Kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kusimamia...
View ArticleMaonyesho ya biashara ya bidhaa za Kichina kuanza tarehe 21 hadi 24 mwezi huu...
Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na KilimoTanzania Bw. Daniel Machemba akiongea na waandishi habari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa za...
View ArticleWaziri Gaudensia Kabaka aipongeza TPB kutoa mikopo kwa wastaafu
Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu...
View ArticleUWT yatoa somo kukabili Wapinzani
Na Mwandishi wetu Wanawake nchini wametakiwa kutokuwa na woga katika kusimamia mambo mbalimbali ya maendeleo. Wametakiwa kuwa katika mstari wa mbele hasa katika kusimamia masuala ya siasa, uchumi na...
View ArticleSimon Berege aula uenyekiti MISA-TAN
Mjumbe wa Kamati ya utendaji MISA -TAN, Lilian Lucas Kasenene akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Simon Berege. Na Nathaniel...
View ArticleDereva Gabreil Joseph wa basi la ABC apongezwa na abiria
Basi la ABC T.433 CVL linaloendeshwa na dereva mbunifu,Gabriel Joseph.(Picha na Nathaniel Limu). Na Nathaniel Limu DEREVA wa kampuni ya mabasi ya ABC yafanyayo safari zake kati ya Singida na...
View ArticleKamati za Bunge Maalum la Katiba zaendelea kukutana mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake leo kwenye ukumbi wa...
View ArticleSekta ya elimu yapokea Bil. 203 kutoka Benki ya Dunia
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Servacius B. Likwelile akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kusaini mkataba wa kupokea mkopo nafuu kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia...
View ArticleJK awasili mjini Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Rais Jakaya Kikwete akialimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM August 19, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu...
View ArticleWanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM...
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji...
View ArticleMwigulu awapa somo wafanyabiashara
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam. Na Mwandishi...
View ArticleMamlaka ya Elimu Tanzania inatarajia kukabidhi madawati 2000 kwa shule za...
Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano toka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi Sylvia Lupembe akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu jitihada wanazofanya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali...
View ArticleRuvuma yazinduwa kampeni ya Bwela Kuni na wimbo maalum
Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga (wa kwanza kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni zinazotarajia kunadi fursa anuai zilizopo...
View ArticleMfanyakazi wa Hospitali ya Peramiho Songea ajinyonga
Mwili wa Fredrick Mgaya (60) ukiwa unaning’inia katika mti aliojinyongea , Tunaomba radhi kwa picha hii. Na Mwandishi wetu Peramiho Songea Mwanaume mmoja Fredrick Mgaya (60), mkazi wa Peramiho,...
View Article