Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda afungua kiwanda cha Nondo cha Kamal Steel Limited

$
0
0

PG4A1979

Waziri Mkuu,  Mizengo Pinda  akikata utepe kuzindua  upanzi wa  kiwanda cha Kamal Steel LTD  kilichopo Chng’ombe jijini Dar es salaam August 17, 2014. Kulia kwake ni  Mwenyekiti wa kamal Steel  Limited, Gagan  Kamal . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1982

PG4A1995

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo  kutoka kwa mtaalamu wa viwango wa kiwanda  cha nondo cha  Kamal Steel  Limited cha Chang’ombe jijini Dar es salaam,  Bwana Jijo  kuhusu upimaji ubora wa nondo unaofanywa kitaalamu katika kiwanda hicho wakati  alipozindua  upanuzi wa kiwanda hicho.

PG4A2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua uzalishaji nonda katika kiwanda cha Kamal Steel Limited cha Chang’ombe jijini Dar baada ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, August 17, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti  wa kiwanda, Gagan Kamal.

PG4A2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua uzalishaji nonda katika kiwanda cha Kamal Steel Limited cha Chang’ombe jijini Dar baada ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, August 17, 2014. Wapili Kushoto ni Mwenyekiti  wa kiwanda, Gagan Kamal  na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Meck Sadik. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles