Pinda afungua mkutano wa chama cha wafanyakazi wa vyuo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimaiana na Mwenyekiti wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (THTU) Leah Ntara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa...
View ArticleMaamuzi ya kikao cha Kamati Kuu mjini Dodoma
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma. Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC...
View ArticleRais Kikwete aandika historia: Aanzisha ujenzi Daraja la Kilombero
Magari yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la...
View ArticleLibeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’
Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa...
View ArticleKampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha...
Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa...
View ArticleHukumu kwa Clouds Radio na TV ukiukwaji wa kanuni za utangazaji kipindi cha...
Mwenyekiti wa Kamati Maudhui Eng. Margaret Munyagi (wa pili kulia), akisoma hukumu dhidi ya Could FM na Clouds TV kuhusu uvunjwaji wa kanuni za utangazaji.. Wengine toka kushoto, Abdul Ngarawa, Joseph...
View ArticlePinda afanya ziara fupi jijini Mwanza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa mbele ya kaburi la Vedasto Kitwanga,mtoto wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (Wanne kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwa Naibu Waziri huyo eneo...
View ArticleMama Salma Kikwete aongoza mazishi ya Jaji Mstaafu Lewis Makame, Tanga
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza kwa ajili ya mazishi tarehe...
View ArticlePinda aongoza harambee ya Mkapa Fellows
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na...
View ArticleWabunge wa CCM waunguruma Mtera Mkoani Dodoma
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala...
View ArticleMarehemu Lucia Kibusi aagwa, Boston, Massachusetts nchini Marekani
Watoto wa marehemu Martin na Steven Kibusi kulia wakiwa kwenye chakula cha pamoja baada ya ibada ya kumbukumbu ya kumuaga mama yao kumalizika kushoto ni marafiki wa karibu na watoto wa marehemu...
View ArticleKampuni ya Msama Promotion na Jeshi la Polisi wakatama kazi feki za wasanii
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo cha polisi cha Urafiki wakati akitangaza kukatatwa kwa watuhumiwa 17 wanaorudufu kazi za wasanii...
View ArticleMzimu wa kujinyonga waendelea kutikisa Peramiho, mtu mwingine ajinyonga tena
Mwili wa Rashid Athuman ukiwa unaning’inia katika kitanzi ambacho alikifunga chooni kabla ya kujinyonga kasha kujifungia chooni. Mwili wa Rashid Athuman ukishushwa na wasamaria wema kutoka kwenye...
View ArticleMaggid Mjengwa aongoza mjadala Kwanza Jamii Radio: Nini tafsiri ya Mizengo...
Studio za Kwanza Jamii Radio. Kusikiliza mjadala huo ingia hapa
View ArticleToyota yafanya bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi wake, wanaume...
Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi...
View ArticleAydin Logistics donates 100 school desks to the Vingunguti Primary School
Ms. Esra Esriti Managing Director of Aydin logistics joined by The Ambassador of Turkey to Tanzania Mr. Ali Davudoglu and Vingunguti primary school officials Mr. Calist Chuwa during the handover of...
View ArticleShule za sekondari zaidi ya 30 kufaidika na mradi wa vitabu wa Airtel Shule Yetu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa “Airtel Shule Yetu” kwa mwaka 2014/15, katika hafla iliyofanyika...
View ArticleSerikali yakiri sheria ya ndoa ya 1971 haifai
Mgeni Rasmi katika utambulisho wa kampeni ya kitaifa kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe,...
View ArticlePinda atajwa mbio za Urais 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipigiwa magoti na Matrida Kitwanga (kulia) mke wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kulia) baada ya kuwasili nyumbani kwa Naibu Waziri huyo, eneo la...
View ArticleBunge la Afrika Mashariki kufanya kikao chake cha Bunge Karimjee Dar, JK...
Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es...
View Article