Rais Jakaya Kikwete akialimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM August 19, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma August 19, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Wapii kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)