Nine Steps to Dealing With Negativity!
“If you don’t like something, change it. If you can’t change it, change the way you think about it.” You may be in daily interaction with negative people, be they friends, family members, a romantic...
View ArticleMjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini...
Ndugu zangu, Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania. Ni kwa nini tuna...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki utoaji tuzo wa Wanasayansi wachanga wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania,...
View ArticleRais Kikwete awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya 20 Ikulu...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014 Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited...
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania...
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki awataka wajasiriamali...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo John Mahaley akitoa neno kwenye Maonesho ya Bidhaa za Wajasiriamali wa Bagamoyo 2014, kwenye viwanda vya kituo cha mabasi Bagamoyo. Hussein Makame-MAELEZO KATIBU...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda asisitiza umuhimu wa ardhi katika uwekezaji
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda. Na Eleuteri Mangi- MAELEZO Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda amewatoa Watanzania hofu kuhusu suala la wageni...
View ArticleMwili wa kichanga wakutwa umefukiwa kwenye gofu Songea
Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela. Na Nathan Mtega wa Demashonews, Songea. Pamoja na kuwepo kwa harakati na utetezi kuhusiana na haki za watoto ikiwemo ya kuishi lakini bado wilayani...
View ArticleSUMATRA mko wapi? Abiria hawa wameteseka zaidi ya masaa 6 bila msaada
Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6 abiria ambao walikuwa wanaelekea Mwanza na basi la Princes shabaha wamezidi teseka huku hawajui hatima yao ya safari Gari hilo lenyenamba za usajili T102...
View ArticleWajumbe wa Bunge la Katiba waaswa kurejea Bungeni
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema akitoa ufafanuzi wa masuala Kisheria kwa waandishi wa habari kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya wakati wa mkutano uliofanyika jana jijini...
View ArticleWanne waangukiwa na mawe mazito Mwanza
Baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza wakiwa wamekusanyika eneo la tukio. Na Mwandishi wetu, Mwanza Watu wane wamefriki dunia katika Jiji la Mwanza baada ya nyumba zao kuporomokewa na miamba ya mawe,...
View ArticlePinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya...
Waziri Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba...
View ArticleCUF yavuna Tabora
Na Mwandishi wetu Chama Cha Wananchi (CUF) kimevuna wanachama zaidi ya 400 kutoka vyama mbalimbali vya siasa kikiwemo Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya Chama hicho kufika katika maeneo yaliyokumbwa...
View ArticleMsichana wa Kitanzania ashinda mashindano ya Insha ya SADC
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako, Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika...
View ArticleMiss Kanda ya Kati Dorice Mollel akutana na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani
Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo nje jengo la ubalozi wa Tanzania jijini Berlin alipotembelea ubalozi huu akiwa kwenye...
View ArticlePlanet Core yaangalia fursa ya uwekezaji sekta ya elimu, mafuta na gesi Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Planet Core ya Nchini India hapo Nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya Mji wa...
View ArticleTanzania yatamba Zimbabwe
A rare photo of Arusha’s Ismaili leaders with Mwalimu Julius Nyerere taken during a community donation in the late 1960’s. (L to R) –The late Tanzanian President Julius Nyerere, Hashim Mbita, press...
View ArticleTanzania haina ugonjwa wa EBOLA, udhibiti viwanja vya ndege na mipakani...
Mtaalam wa ufuatiliaji wa magonjwa ya binadamu wa wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kuhusu historia ya ugonjwa wa Ebola, Virusi vyake , dalili na namna unavyoenea...
View ArticleSerikali kuwashirikisha vijana katika programu za maendeleo
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye...
View ArticleMeTL GROUP yapata mkopo wa bilioni 300/- kutoka RMB
Afisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mohammed Dewji (MB) akisoma risala yake kwenye hafla ya utiliaji saini wa mkopo wa Bilioni 300 za kitanzania kutoka Benki ya Rand Merchant ya Afrika Kusini (RMB)...
View Article