Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6 abiria ambao walikuwa wanaelekea Mwanza na basi la Princes shabaha wamezidi teseka huku hawajui hatima yao ya safari
Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX Wamekwama maeneo ya Kibamba jiji Dar es Salaam huku kina mama na watoto wakizidi teseka,
Mama huyu akiteseka na mtoto mdogo.
Abiria wakiwa nje ya basi
Baadhi ya abiria wakijadiliana nini cha kufanya ili wapate usafiri mwingine.
Hizi ndio namba za basi hilo.