Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC

$
0
0

PG4A1322

Waziri  Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1354

PG4A1494

PG4A1537

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1743

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na  Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus  Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC  zilizoko eneo la Kibada  Kigamboni jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu alitembelea August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A1766

PG4A1943

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba  katika mradi wa DEGE  ECO VILLAAGE unaomilikiwa na Shirika la NSSF eneo la Kigambaoni August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A1778

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Meck Sadik na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema (kushoto)  kukagua  nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa NHC zilijengwa na kuuzwa  eneo la Kibada Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles