People with albinism: Pillay urges more protection after barbaric killing in...
UN High Commissioner for Human Rights Navi Pillay. UN High Commissioner for Human Rights Navi Pillay called Thursday for increased protection for people with albinism, after the barbaric murder of a...
View ArticleKenya Blasts As Britons Warned To Leave
Ten people are killed in Nairobi explosions as a British holiday operator begins evacuating customers from the country. A woman walks near a damaged vehicle at the scene of a twin explosion at the...
View ArticleNigeria Leader Cancels Visit To Girls’ Village
The cancellation of the president’s trip infuriates the schoolgirls’ relatives who are angry at the response to the kidnapping. Nigeria’s president has cancelled his first planned visit to the village...
View ArticleBalozi Liberata Mulamula amkaribisha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe...
Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mazungumzo hayo. Juu na chini ni Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake, Rais Mstaafu...
View ArticleMaonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania yafunguliwa Diamond...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda aagana na Balozi mteule wa Tanzania, nchini Sweden Dora Msechu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu mjini Dodoma, May 16, 2014. Balozi huyo mteule...
View ArticleNice Little Beliefs!
1. Once, all villagers decided to pray for rain, On the day of prayer all the People gathered but only one boy came with an umbrella. THAT’S FAITH! 2. When you throw a baby in the air, She laughs...
View ArticleBajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi yapita bila kupingwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu wake, Pereira Sirima (kulia) wakipongezwa na Wabunge baada ya bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo, bungeni mjini Dodoma May 16, 2014....
View ArticleRais Kikwete amfariji Jaji Warioba kwa kufiwa na mkwe wake
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay...
View ArticleKinana afunga kazi Urambo, maelfu wahudhuria mkutano wake wa hadhara
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa katika ziara ya kukagua...
View ArticleBalozi Seif Ali Iddi aiomba IFAD kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji katika...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa...
View ArticlePrivate Brian Salva Rweyemamu azikwa jijini Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar...
View ArticleUshirikiano wa pamoja unatakiwa ili kujenga nidhamu ya mwanafunzi
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Na Anna Nkinda – Maelezo Ushirikiano wa pamoja unatakiwa baina ya wanafunzi, walezi, wazazi, jamii na walimu...
View ArticleSafari ya mwisho ya Mwanasheria Luke Seyayi
Mchungaji wa kanisa la AIC la Magomeni akiongoza ibada maalumu ya kuuaga mwili. Mmoja wa wafanyakazi wenzake akitoa shukurani kwa niaba ya wafanyakazi wenzake. Shemeji yake Marehemu Judith Mtania...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal awasili Japan jioni hii kuanza ziara ya siku sita
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Japan, Salome Sijaona, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Aneda,...
View ArticleIn Loving Memory of Prof. Helen. I.Lugina
Three painful years have already gone by since the day you answered the Lord’s call on that fateful day of 31st May, 2011. Yet it feels like yesterday. Ever since you have passed away life hasn’t been...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda na familia ya Prof. Muhongo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014....
View ArticleMama mzazi wa Mh. Zitto Kabwe afariki dunia
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, asubui hii amefiwa na mama yake mzazi Bi Shida Salum, aliyeugua kwa muda mrefu. Pichani ni Mama mzazi wa Zitto Kabwe enzi za uhai wake. Taarifa ya...
View ArticleMTOTO Nasra Said aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne afariki Dunia
MTOTO Nasra Said aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal azindua mfuko wa elimu wa halmashauri ya mji wa Kibaha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili...
View Article