Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, asubui hii amefiwa na mama yake mzazi Bi Shida Salum, aliyeugua kwa muda mrefu.
Pichani ni Mama mzazi wa Zitto Kabwe enzi za uhai wake.
Taarifa ya msiba huu imethibitishwa na yeye mwenye Zitto Kabwe kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter kama inavyosomeka hapo chini.
MO BLOG tunatoa pole kwa Zitto Kabwe, familia na wote walioguswa na msiba huu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.