Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu mjini Dodoma, May 16, 2014. Balozi huyo mteule alkwenda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Mkizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, ofisini kwake mjini Dodoma May 16, 2014. Balozi huyo Mteule alikwenda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).