Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Private Brian Salva Rweyemamu azikwa jijini Dar

$
0
0

salva1

 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014.

salva2

salva3

Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

salva4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati wa mazishi  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014. (Picha na IKULU).

salva5


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles