Muungano wetu unahitaji meza ya majadiliano na maridhiano
Maoni ya Mhariri Tahariri MOblog Tanzania JUZI Waziri Kivuli wa Muungano na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Mbunge Tundu Lissu aliitaka serikali kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu...
View ArticleAskofu Sixbert Paul wa Kanisa la Victorious kutunukia Shahada ya Udaktari ya...
Askofu Sixbert Paul wa kanisa la Victorious la mjini Moshi akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na hafla ya kutunukiwa shahada la udaktari ya huduma. Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa...
View ArticleFrench journalist Camille Lepage killed in CAR
French photojournalist Camille Lepage has been murdered while working in the Central African Republic, presidential officials in Paris say. The body of Ms Lepage, 26, was found when a French patrol...
View ArticleThe government plans to improve employment policy
Dr. Coffi Agossou, ILO Senior Labour Statistics Specialist facilitating the session during the Intergrated Labour Force Survey (ILFS) Data Production and Management training organised by the ILO...
View ArticlePinda afungua mkutano mkuu wa ALAT mjini Tanga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Kitabu cha Miaka 30 ya ALAT katika Mkutano Mkuu wa ALAT alioufungua May 14, 2014 mjini Tanga . Kulia ni Mwenyekiti wa ALAT, Dr. Didas Masaburi na kushoto ni Waziri...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la pili la wanasayansi na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo...
View ArticleKatibu Mkuu wa Shirika la kimataifa la usafiri wa anga (ICAO) Bw. Raymond...
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiongozana na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin baada ya kuwasilia katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleEast Africa’s Top CEOs meet to exploit the region’s emerging growth...
Bashir Partner KPMG, (PWC) Country Senior Partner. Issues affecting East African region’s economic progression are expected to take centre stage at this year’s East Africa Business Summit (EABS) to be...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi mteule wa Tanzania, nchini Sweden...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...
View ArticleHow the body ages some interesting information
Different Parts of Our Body Age at Different Times We all accept that getting older is inevitable, and now leading clinicians have revealed the exact age when different body parts start to decline,...
View ArticleLAPF yaongeza wanachama hadi kufikia 20,214
Frank Mvungi-Maelezo MFUKO wa pensheni wa LAPF umefanikiwa kusajili wanachama 20,214 kufikia mwezi machi 2014 wakati lengo lilikuwa wanachama 15,287 katika kipindi hicho. Hayo yamesemwa na Meneja wa...
View ArticleTamasha la “Mtu kwao” laanza kurindima jijini Arusha
Mmoja wa wawadau wa utamaduni akiwa anawaonyesha malagwanani jinsi ya kutumia mishale. wanafunzi wakiwa wanapewa mafunzo ya kutengeneza magari ya mabati machifu wakibadilishana uzoefu na ukabila...
View ArticleHotuba ya Bajeti ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Asha-Rose Migiro kwa Mwaka...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr.Asha-Rose Migiro akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara yake bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Hotuba Sheria Na Katiba 2014 Chapa by...
View ArticleKutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude...
View ArticleRais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo...
View ArticleWazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete. Na Anna Nkinda – Maelezo Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza na...
View ArticleKinana aunguruma Sikonge – Tabora na kukagua ujenzi wa jengo la upasuaji
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mgambo kitongoji cha Lukula kata ya Kitunda wilayani Sikonge mkani Tabora ambapo aliwaomba radhi wakulima wa Tumbaku kwa...
View ArticleRais Kikwete amuapisha Balozi mpya wa Tanzania Urusi, Naibu Katibu Mtendaji...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 15, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleKatibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga( ICAO) atembelea...
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiongea na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin baada ya kutembelea katika ofisi za wizara ya uchukuzi jijini Dar es...
View ArticleRais Jakaya Kikwete afanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la...
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi. Rais wa Jamhuri ya...
View Article