Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiongea na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin baada ya kutembelea katika ofisi za wizara ya uchukuzi jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Shirika la Usafiri wa Anga( ICAO) yupo nchini kwa ziara ya kikazi kuanzaia Tarehe 14 hadi 18 mei 2014.
KARIBU MGENI MWENYEJI ASHIBE ; Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akimkaribisha Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipafika makao makuu ya wizara hiyo jijini Dar es Salam, leo.