Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Kitabu cha Miaka 30 ya ALAT katika Mkutano Mkuu wa ALAT alioufungua May 14, 2014 mjini Tanga . Kulia ni Mwenyekiti wa ALAT, Dr. Didas Masaburi na kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) katika maonyesho ya mika 30 ya ALAT mjini Tanga May 14, 2014. Mheshimiwa Pinda alifungua mkutano Mkuu wa ALAT. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua banda la Kampuni ya MAXCOM ambayo inaenedesha Mtandao wa Kisasa wa Manunuzi na malipo ya huduma mbalimbali baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 30 wa ALAT mjini Tanga May 14, 2014. kulia ni mwenyekiti wa ALAT, Dr. Didas Masaburi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).