Rais Kikwete atembelea kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant...
View ArticleTGNP Mtandao ya Chambua Bajeti na Wahariri wa Vyombo vya Habari
Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana. Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya...
View ArticleKinana afunika Nzega, Kigwangala na Bashe wachuana kutoa misaada mbele yake
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Nzega njini kwenye mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Parking hapo Nzega ambapo aliitaka serikali kupunguza vikwazo na maamuzi...
View ArticleMatembezi ya Susan G. Komen Washington, DC
Mmoja ya waandaaji wa matembezi ya Susan G. Komen ya saratani ya matiti akielezea jambo kabla ya kuanza kwa mbio kwa ajili ya mapambano ya Saratani hiyo hatari kwa akina mama ambayo Team Tanzania...
View ArticleSamsung Unveils New Innovative House Hold Products
Mr. Dongha Jang the Managing Director Samsung Tanzania addressing the media during the Samsung Dealers Conference held in Dar es Salaam. In its continueous bid to enhance and empower the lifestyle...
View ArticleUwepo wa wanawake zaidi, vijana na watu wenye ulemavu ni vema kwa Bunge na...
Kiongozi wa UNDP, na Waziri Mkuu wa zamani wa New Zealand, Helen Clark(pichani), amewapongeza viongozi wa vyama vya siasa Tanzania kwa dhamira yao ya kuwasimamisha wanawake zaidi, vijana na watu wenye...
View ArticleWinner of APO Invitation to the 2014 AfDB Annual Meetings Revealed
Julius Uma. Sudan Tribune Associate Editor won APO invitation to participate in the Annual Meeting of the African Development Bank Group (AfDB) APO (African Press Organization) today announced that...
View ArticleTigo yadhamini maonyesho ya kazi za mikono za Kitanzania
Mfanyabiashara wa vifaa vya mapambo ya ndani vyenye asili ya Kitanzania wa duka la Zamani Dhow, Bw. Nordety Cornellius akiwahudumia wateja waliofika bandani kwake wakati wa maonyesho ya bidhaa za...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal azindua Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu (HDIF)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia...
View ArticleKatibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu afanya ziara Mkoani Dodoma
Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN). Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M...
View ArticleDar yazizima kufuatia kifo cha Balozi Flossie Gomile Chidyaonga
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili kuhudhuria misa maalum ya kumwombea aliyekuwa Balozi wa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki kuaga mwili wa marehemu Flossie Chidyaonga...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Balozi Frossie Chiyaonga, wakati...
View ArticleKinana aunguruma wilayani Uyui
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahtubia wakazi wa Loya wilayani Uyui,Katibu Mkuu aliipongeza sana halmashauri ya wilaya kwa kujenga shule za sekondari 18 za kata. Mwenyekiti wa...
View ArticleRais Kikwete atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Balozi wa Malawi Dar Es...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi...
View ArticleTaarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Homa ya Dengue
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo. Utangulizi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa...
View ArticleTigo’s Business Unit to develop fibre and cable services
Tigo Tanzania General Manager, Diego Gutierrez. Local and international businesses will be able to benefit from Tigo’s own extensive fibre infrastructure Tigo Tanzania (http://www.tigo.co.tz)...
View ArticleWaandishi wa habari wapewa changamoto ya ubunifu, kujituma
Na Nathaniel Limu, Singida WAANDISHI wa Habari mkoani Singida, wamehimizwa kuondokana na uandishi habari wa mazoea na badala yake wabadilike na kuwa wabunifu ili kazi yao iweze kukidhi viwango vya...
View ArticleSemina ya uhabarisho wa shughuli za mamlaka ya usimamizi wa sekta ya hifadhi...
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi,akifungua semina ya uhabarisho juu ya shughuli za mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA).wa kwanza kushoto ni katibu tawala mkoa wa...
View ArticleAfrican Union: Reject Immunity for Leaders
African Groups say Plan Would Harm Regional Court By Special Correspondent, Johannesburg A proposal to give immunity to sitting government leaders before Africa’s regional court would be a major...
View ArticleHotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Mch. Peter...
Hotuba Ya Msemaji Mkuu Wa Upinzani-maliasili Na Utalii Final Version 2014 by moblog
View Article