wanandugu wa Susan G. Komen wakiadhimisha siku ya dada yao kwenye maadhimisho ya mbio za saratani ya matiti zilizofanyika jana Jumamosi May 10, 2014 Washington, DC na mbio zilikuwa za maili 5.
Mmoja wa wanusurika wa Saratani ya matiti akitoa ushuhuda wake kwenye mbio za Susan G. Komeni zilizofanyika jana Jumamosi May 10, 2014 Washington, DC.
Watanzania wa DC walioshiriki mbio hizo.
Team Tanzania katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mbio hizo.
Timu Tanzania ikiwa imemalia maili moja ya mbio hizo na kukutana na Mmarekani aliyewahi tembelea Tanzania (wapili toka kushoto mstari wa mbele) na kupiga nae picha baada ya kuona bango la Tanzania.
Timu Tanzania ikiwa imemaliza maili 2 ya mbio hizo.
Timu Tanzania ikiwa imemaliza maili 3 ya mbio hizo.
Mmarekani mwingine aliyewahi tembelea Tanzania kaipata picha ya pamoja na Iska Jojo na Pius Mtalemwa.
Timu Tanzania katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za maili tano.