Msife moyo Man U itarejea: Giggs
Kaimu kocha wa Manchester United Ryan Giggs amewarai mashabiki wa klabu hiyo maarufu kuwa wasife moyo ushindi utarejea Old Trafford katika siku za usoni. Kigogo huyo wa Manchester United aliwaasa...
View ArticleWahariri wa vyombo vya habari wapewa semina ya kuelimisha utunzaji wa...
Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani...
View ArticleRais Kikwete katika Mkutano wa Dunia wa Uchumi Jijini Abuja, Nigeria
World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab pins a WEF pin on President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in the sidelines of the World Economic Forum in Abuja. President Dr Jakaya Mrisho...
View ArticleSerikali ya Tanzania yasaini msaada wa zaidi ya Sh. Bilioni 134 kusaidia...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akisaini mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini...
View ArticleMatukio kwenye Bunge la Bajeti mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu,...
View ArticleRais Kikwete awapa rambirambi Wanigeria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan na wananchi wa Nigeria...
View ArticleRais Kikwete akutana na Rais Jonathan wa Nigeria
Rais Jakaya Kikwete na Rais Goodluck Jonathan jijini Abuja, NIgeria leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Mei 8, 2014, amekutana na kufanya...
View Article“Pampu za solar; ufunguo wa tatizo la ukosefu wa maji”
Mkurugenzi mtendaji wa Davis & Shirtliff Bw. Benjamin Munyao akimuelezea Mr. Nehemia Mchechu Director General wa NHC jinsi pampu ya maji aina ya Lorenzo inavofanya kazi. Pampu hii ya Lorenzo...
View ArticleRatiba Bunge la Kumi, Mkutano wa Kumi na Tano
Ratiba Ya Mkutano Wa 15 Wa Bunge New by moblog
View ArticleMnada mkubwa wa Isuzu Pick-Up Double Cabin na Malori Jumamosi hii
Mnada Wa Malori Na Double Cabin by moblog
View ArticleUporaji katika sekta za mbao na uvuvi unazuia maendeleo ya Afrika – Kofi Annan
Kofi Annan, Chair of the Africa Progress Panel. Ripoti ya Jopo la Maendeleo ya Afrika ya mwaka huu inawahimiza viongozi wa Afrika kupambana na ukosefu wa usawa na kuitaka jamii ya ulimwengu...
View ArticleWalimu wapya Wilaya ya Handeni waanza kazi na machungu
Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya Handeni, Dr Khalfany Haule. WAAJIRIWA wapya wa fani ya ualimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga wameanza kazi kwa kuonja machungu ya madeni...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la siku mbili la kudhibiti...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat...
View ArticlePinda akutana na wawekezaji toka Vietnam
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profefesa Makame Mbarawa (kulia)wakizungumza na Wawekezaji katika Tekinolojia ya Mawasiliano kutoka Vietnam,...
View ArticleThe French Development Agency and AKDN Sign a Multimillion-Dollar Agreement...
Princess Zahra Aga Khan, Head of AKDN’s Social Welfare Department looks on as AFD’s deputy Chief Executive Officer, Jacques Moineville, and Amin Habib, Chairman of the Board of Directors of the Aga...
View ArticleKinana : Viongozi wana mengi ya kujifunza kutoka Kwa Wananchi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Igunga kwenye viwanja vya Sokoine na kutaka Viongozi wajifunze kutoka kwa wananchi ili waendane na kasi ya mabadiliko. Katibu wa NEC...
View ArticleChenji ya Rada yatumika kununua Vitabu visivyo na ubora
Na Mwandishi maalumu – HakiElimu Uchunguzi kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina kasoro za ubora licha...
View ArticleDiscussion On Eu-Tanzania Transfer Agreement which allows to Trial Pirates...
From left is Political Officer Delegation of the European Union Tom Vens, Rear Admiral Commander Task Force 465 Jürgen zur Mühlen , and the Chargé d´Affaires a.i. Hans Koeppel of the German Embassy...
View ArticleSerikali na jumuiya za kiraia zijiandae kujenga miundo mbinu kuzitumia vizuri...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mkewe Mama Pili Juma Iddi (kulia) wakitabasamu pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman kwenye tafrija maalum kwenye...
View ArticleWaziri Nyalandu akabidhiwa magari ya kusaidia kampeni ya kutokomeza Majangili...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi...
View Article