Tanki mafuta lalipuka na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri maeneo ya Shelui...
Baadhi ya wananchi wakipiga picha wakati tanki la mafuta la kampuni ya B. Clarke Haulege Construction, Tanki hilo ni mali ya Bw. Bundala Kapela wa Igunga ni namba T634 BCZ lenye vyumba vinne na uwezo...
View ArticleUongozi wa Msitu wa Buhindi Sengerema wagawa madawati kwa shule za msingi
Afisa Elimu Msingi wilaya Sengerema Bw. Juma Mwajombe akikadhiwa madawati. Na Daniel makaka, Sengerema. WALIMU wakuu shule za msingi katika kata ya Bupandwa wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza...
View ArticleJK amteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA). Dkt. Shirima ni...
View ArticleAndikeni Habari za kumkomboa Mwananchi : Jaji Bomani
Mshehereshaji ambaye ni Mwanakamati ya maandilizi ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014, Usia Nkhoma Ledama akiwatambulisha baadhi ya waandishi wa habari wakongwe (hawapo...
View ArticleToeni kwa wakati vitabu vya makadirio ya bajeti kwa wabunge
Toeni Kwa Wakati Vitabu Vya Makadirio… by moblog
View ArticleKamati ya Bunge yapitisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Magufuli (katikati) na Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu Mhe. Peter Serukamba (kulia) pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhe. Eng. Gerson Lwenge (kushoto)...
View ArticleMagari zaidi ya 100 yakwama eneo la Manzese barabara ya Dar Es Salaam Mtwara
Malori na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea na safari kwa takribani masaa zaidi ya nane katika eneo la Manzese lililopo Kilwa barabara ya Dar Es salaam kuelekea...
View ArticleRidhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa waapishwa rasmi Bungeni mjini Dodoma leo
Mbunge wa Kalenga, Godfrey mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma Mei 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge...
View ArticleBunge la Bajeti 2014/2015: lisiwe la Vurugu, Matusi na Kejeli
Tamko Vikao Vya Bajeti 20142015 by moblog
View ArticleSamsung Galaxy S5; A Solution To Smartphone Battery Problems
The new numbers from research done by International Data Corporation (IDC) suggests that many people prefer smart phones to other ordinary ones. These numbers have notched a significant milestone...
View ArticleRais Kikwete awasili Abuja, Nigeria, kuhudhuria Mkutano wa Uchumi Duniani...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano...
View ArticleKikosi cha Marekani kusaidia Nigeria
Rais Barack Obama wa Marekani aliyeamuru msaada wa kijeshi na vifaa kuwatafuta wasichana Nigeria. Marekani imetangaza kwamba imetuma kikosi cha wataalamu nchini Nigeria kusaidia kuwatafuta wasichana...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda katika tete-a-tete na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, bungeni mjini Dodoma May 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
View ArticleStanbic Bank’s Kahama customer wins Amarok
Stanbic Bank Tanzania Head of Personal and Business Banking, Paul Omara (C), pressing a laptop button during the bank’s grand draw of its campaign dubbed ‘ switch’ where Frank Msilu of Kahama,...
View ArticlePresident Kikwete meets Former British PM Gordon Brown in Abuja, Nigeria, Today
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete in a bilateral meeting with Rt. Hon. Gordon Brown (MP), UN Special Envoy for Global Education and Former British Prime Minister in the sidelines of the World...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na kuzungumza na Viongozi wa CCM na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya na Mufindi wlioongazana na baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, wakati...
View ArticleKinana kuanza ziara ya Siku 26 Tabora, Singida na Manyara
*NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM *KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI * KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na baadhi ya...
View ArticleChonde chonde …..Jeshi la Polisi chukueni hatua dhidi ya mabomu haya!
WATANZANIA taratibu wameanza kuona kama ni mchezo wa kuigiza au mazoea pale kila baada ya muda fulani tukio la kulipuka kwa bomu katika kanisa au sehemu ya mkusanyiko au kwenye mkutano wa kisiasa kama...
View ArticleVideo: Shimo hatari Barabara ya Ali Hassan Mwinyi lazibwa
LILE Shimo hatari lililokuwa kero kwa watumiaji na kuripotiwa na Global TV Online juzi Jumatatu Mei 5, 2014 limezibwa kwa sehemu kubwa. Shimo hilo lilikuwa katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani...
View ArticleMbunge ‘Zungu’ aishukia serikali dhidi ya machinga, boda boda, mama ntilie
-awataka wabunge wengine wasije Dar es Salaam, wakae kwenye majimbo yao Mbunge wa Ilala, Hassan Musa ‘Zungu’ Na Damas Makangale, Moblog Tanzania MBUNGE wa Ilala, Musa Hassan maarufu kama ‘Zungu’...
View Article