Mbunge wa Kalenga, Godfrey mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma Mei 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza.
Mke Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi.
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiapa, Bungeni Mjini Dodoma.
Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa akiapa Buneni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma.
Mh. William Lukuvi akipongeza Mh. Ridhiwani Kikwete.