Hatari: Tanesco waamua kuchukua uamuzi wa kufunga nyaya juu ya mti baada ya...
Nguzo hii ina zaidi ya Mwezi mmoja ikiwa ndani ya nyumba ya mtu na hatari zaidi kwa sababu imelalia katika miti mibichi. Hivi ndivyo nguzo hiyo inavyo onekana kwa Jirani ikiwa imelalia miti. Hizi ni...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal, awasili mjini Bukoba Mkoa wa Kagera jioni hii...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye...
View ArticleBAJETI KUU YA SERIKALI: takribani Sh. Tril. 19. 7 zatarajiwa kutumika mwaka...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiwaasa wabunge wote kushiriki kikamilifu katika kamati zao kizalendo kwa kujali nchi yao ili ipatikane bajeti yenye tija kwa taifa leo...
View ArticleWajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe
Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi. Kushoto ni mmoja wa manesi wa kituo. Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo...
View ArticleMataifa EAC yazingatie ulinzi wa Afrika – Uhuru Kenyatta
Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa...
View ArticleClouds Media yapata leseni ya urushaji wa matangazo katika nchi za falme za...
Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha matangazo katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE). Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleMfumo wa kielektroniki waongeza mapato manispaa ya Kinondoni
Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bw. Sebastian Mhowera akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato unatumiwa na...
View ArticleThe Kilimanjaro Challenge against HIV and AIDS 2014
Dr. Fatma Mrisho, Executive Director for Tanzania Commissions for AIDS (TACAIDS), joined by AngloGold Ashanti Sustainability Vice President Mr. Simon Shayo and their colleagues during the launch of...
View ArticlePinda kuzindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu mjini Dodoma
Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Elimu yatakayofanyika kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya...
View ArticleMhe. Kombani awapongeza wanamichezo OR-MUU kwa ushindi mkubwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akikabidhiwa kombe la ubingwa wa Mpira wa Pete la Mei Mosi 2014 kutoka kwa Kapteni wa timu Elizabeth Fusi...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal azindua rasmi sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba,...
View ArticleSerikali yawataka wanahabari kuhamasisha umma ulipaji kodi kwa maendeleo ya...
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima akifungua rasmi mafunzo hayo ya siku pili kwa waandishi wa habari za kodi nchini jijini Dar es Salaam. Na Damas Makangale, MOblog Tanzania SERIKALI...
View ArticleWanahabari washinda uonjaji Bia TBL
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto), akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea...
View ArticleWananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe kufanya kazi saa 24
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Tembela, Elias Kalinga akifanya mahojiano na Thehabari.com hivi karibuni. Sehemu ya jengo la Kituo cha Afya Simambwe, likitoa huduma. Tembela, Mbeya WANANCHI wa Kata ya...
View ArticleWaandishi wa habari msikubali kutumiwa, unganeni
Baadhi ya waandishi wa habari na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wakifanya usajili kwenye kongamano la siku moja lilioandiliwa kuadhimisha Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani 2014 lililofanyika...
View ArticleSherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge zawakumbusha Wajumbe wa Bunge Maalum la...
Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akipokea kijingi cha moto kutoka kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara, tayari kwa...
View ArticleWasichana 30 jijini Mwanza wapatiwa mafunzo ya siku tano kuhusu elimu ya...
Mkufunzi wa Masuala ya Kijinsia Bi. Tumaini Kyola akitoa mafunzo kwa kundi la Wasichana 30 ambao hawako mashuleni juu ya mbinu mbalimbali za kuelemisha jamii kuhusu masuala Ukatili wa Majumbani na wa...
View ArticleAudio ya mahijiano na Profesa Boas kuhusu muungano
Profesa Boas akiwa na Cheif wa swahilivilla Abou Shatry baada ya Mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 Maryland Nchini Marekani. Sikiliza Audio ya Mahojiano kuhusu Muungano na Profesa Boas ambaye ni...
View ArticleHatimaye Malkia na Rais mpya wa kijiji cha Maisha Plus wapatikana
Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo...
View ArticleAirtel yazindua duka la kisasa Mlimani City
Afisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzindua duka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia, wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa masoko...
View Article