Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Video: Shimo hatari Barabara ya Ali Hassan Mwinyi lazibwa

$
0
0

Untitled

LILE Shimo hatari lililokuwa kero kwa watumiaji na kuripotiwa na Global TV Online juzi Jumatatu Mei 5, 2014 limezibwa kwa sehemu kubwa. Shimo hilo lilikuwa katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani na Kituo cha ITV, Mwenge jijini Dar es Salaam. Ungana na Global TV Online kushuhudia shimo hilo lilivyozibwa!


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles